Wanaume wa Dar ni mabilionea


Blue print ipo dar. Wew huon watu wakitoka mikoan wakija wanapigwa hela.
Dar watu hawatumii nguvu bali ni akili…
 
Tanzania level ya kuwa TAJIRI inategemeana na kiwango cha umaskini cha wanaokuzunguka.
 
Mabilionea wa nini? Ushuzi?

.........goodness!, like really?!,,...lol!
Wana Dalisalama 2015 mpaka tuseme poh!, and last time I checked we were still in Jan....lol!
 
.........goodness!, like really?!,,...lol!
Wana Dalisalama 2015 mpaka tuseme poh!, and last time I checked we were still in Jan....lol!

Dar es salaam ndio kwetu.

Mtaa wa Kariakoo. Sio Kariakoo tu, Mtaa wa Kariakoo, Kariakoo.

Babu kajenga Azania Front na Mjerumani kamaliza 1903.

Kwa hiyo si wa kuja na reli au basi mjini.

Lakini mtu akiniletea upuuzi wa ubikionea ushuzi lazima niseme.

Tusipoangalia Tanzania tutaanza habari za Benghazi na Tripoli hivihivi kwa ujinga.
 
Ni watu wadar ila hapa nimefocus kitAIFA DAR INASIMAMA WAPI na watu wake kulinganisha na wa mikoani

Jibu linakuja wana hela kushinda wengine (general)


Watu wadarni akina nani?
 

Sawa mkuu ni vizuri kuona mbali, it's good to joke and laugh at each other in a healthy way but it's also important to think out of the box, the way you do!
 
Watu wadarni akina nani?

Huyo anayejishebedua mtu wa Dar ukimwambia Sheikh Chamgui nani atamjua?

Ukimwambia Jumbe Tambaza nani atamjua?

Ukimuuliza Sheikh Amri Abeid nani atamjua?

Ukimuuliza Mwinyi Juma nani atamjua?

Ukimuuliza Mwinyi Pazi nani atamjua?

Ukimuuliza Amiri Akida nani atamjua?

Halafu anakuja hapa kutamba watu wa Dar hivi, vile.

Watu wa Dar wenyewe hatutambii kuwa watu wa Dar.

Ukiona mtu anatambia kuwa mtu wa Dar ujue wakuja huyo, alikuwa anaisikia tu Dar sasa kafika hakutegemea analimbuka.

Watu wa Dar wenyewe kuanzia Misheni Kota mpaka Gerezani, Kitchwele mpaka Acacia, Mwembetogwa mpaka kwa Msa Hasani huwezi kutusikia tunatambia kutoka Dar.

Mtu wa Dar hata Co-Cabs huijui?
 
Dawa ni kufufua uzi wa "Wanaume wa Dar na Panya-Road" ndiyo tutaelewana hapa.
kweli watu wa DAR, majigambo yanazidi unaweza banwa hadi kukabwa mwanamume mzima, wenzako wanakuangalia
mfano mzuri ni huo wa Panya road.
watu hamna ushirikiano hata wa ulinzi shirikishi, mwizi akitokeza mahali mnampisha
kweli Dar ina wenyewe
 

Tatzo huelewek una maana gan
 
wanabillione wa dar huwa wanifurahisha kweli. anaishi sinza chumba kimoja cha kupanga, maji kuchota kwa jirani kapaki harrier uwanja wa fisi. kila siku anabadili vimwana. ila akitokea panyaroad harrier anaikimbia na viatu anamwachia mohamee mtoto wa vingungut. bora zetu wa ze green city, mziki wetu mpaka jw waingilie nyie mgambo wajiji tu jasho. wanaume wa dar wengi sio wanaume ila n wanaume vits
 
hao unaosema ni watu wa dar ni wa mikoani vilevile. Hao kina Dewji ni raia wa nchi za nje. ukijui unachosema dogo.
 
Mengi ni wa Moshi

Rostam Tabora

Manji. Tabora

Wanaume wa Dar suruali tu,hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…