hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,618
- 63,177
mwanamke huyo hana jpya dhiki tu inamtafunaHuoni huyo Mwanamke mwenye Shungi hapo pembeni anakushangaa.... ...Eti kiatu cha Laki kwanini hukununua chenye Waterproof
mwanamke huyo hana jpya dhiki tu inamtafunaHuoni huyo Mwanamke mwenye Shungi hapo pembeni anakushangaa.... ...Eti kiatu cha Laki kwanini hukununua chenye Waterproof
Pia sisi hatuwapend wa mikoaniMi ndo maana siwapendi wanaume wa Dar, wamezidi kujilemaza
Kweli mkuu wanaume wa dar wanajua kugawa riziki mpk na wao WAMEKUA SIO "RIZKI" kabisaa aiseeWanaume wa dar wanajua namna yakugawana Ridhiki ...ila wanaume wamikoani yuko ladhi ajichafue wakati anajua anaenda ofisin ....kisa tu buku.....alafu wanaume wa mikoani kama niwachapa kazi waulize hivi mbona awana maendeleo.
Siku hizi wanamwagiwa mayonise usinukuu vibaya ni kwenye chips lakiniSiku hizi hamkamuliwi juisi ya muwa?
mkuu naona tumekutana kwenye mayonnaise hapoSiku hizi wanamwagiwa mayonise usinukuu vibaya ni kwenye chips lakini
Hajui hapo kuna kijana anajipatia kipato .Wanaume wa dar wana pesa kuliko wa mikoani ndio maana hawaoni kazi kuzitumia pesa zao kadri wanavyojisikia.
Hhahahhahhahaha lohh si kwa kunivunja mbavu zangu mwehhhHa ha ha ha
ajabu ni kuwa wanaume wa Dar wanabebwa mpaka na wanawake migongoni...
Yaani Darisalama haiishagi vituko aseeeHhahahhahhahaha lohh si kwa kunivunja mbavu zangu mwehhh
Ni shida ya kuishi mikoani. hawajui kwa nini kila siku watu wanazid kuhamia dsmHajui hapo kuna kijana anajipatia kipato .
Ushamba mzigo mzito ndugu yangu.Ni shida ya kuishi mikoani. hawajui kwa nini kila siku watu wanazid kuhamia dsm
Avue abaki na boxer.mbona zinaonekana kiunonimwanaume ana kiuno)?Mwanamke zaidi ya sandals na dera hakuna kingine anachovaa kipindi cha mvua...
Kwao inakua rahisi kupandisha na kutembea kwenye maji...
Mwanaume labda avue viatu, soksi na suruali...
Cc: mahondaw
Bia uipate wapi na hela hamnazo siku hizi?Siku hizi tunakula kama watu wa Mikoani, maini na figo za kuchoma, ugali kidogo na maparachichi tunashushia na bia taratiiiiiibu