Wanaume wa Dar mnashida

Wanaume wa Dar mnashida

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Hivi utaanzaje kulala fofofo wakat mtoto Kama huyo yuko pembeni? Mpaka anapata mda wa kupiga picha?
Screenshot_20181015-133821.jpg
 
Sasa inabidi wazee wa Dar tuingilie kati maana vijana wanatuangusha......

Wanasemaga ng’ombe hazeeki maini....!!
 
We muda wa kulima nani kakuwashia hotspot uingie facebook?
 
Waulizwe wanaume wa dar. Mo yupo wapi wanaume wa dar
 
Kwani mwenye mkoa wake nae ni wa wapi? sio wa huko msituni kweli!!
 
Na yule aliyeshindwa hadi kukamuliwa mbegu zikaenda kurutubishwa kwenye maabara ni wa wapi vile? Wa mikoani mnachojua ni kunenepesha misambwanda tu kama dada zenu, na tutawagongea sana.
Nyinyi hatuna wasiwasi na nyie..
Mwanaume pekee ambaye nina uwezo wa kumuachia mke na bado mke akatoka salama bila kugongwa ni mwanaume wa dar pekee..
Najua ataishia tu kupiga selfie tu
 
Hivi utaanzaje kulala fofofo wakat mtoto Kama huyo yuko pembeni? Mpaka anapata mda wa kupiga picha? View attachment 898909


Hawa vikaragosi (wanaume wa Dar) kwa kweli inabidi wakamatwe na kufungwa maisha, maana wanatuahaibisha wanaume wa ukweli. Ufala huu pia ulimtokea Diamond, toto la kiha limelala fofofo huku likitokwa miudenda kisha Hamisa Mobetto akampiga picha akiwa bado anasubiri kuchapwa goli la pili.
 
Nyinyi hatuna wasiwasi na nyie..
Mwanaume pekee ambaye nina uwezo wa kumuachia mke na bado mke akatoka salama bila kugongwa ni mwanaume wa dar pekee..
Najua ataishia tu kupiga selfie tu

Mlete kwangu uone kesho atakavyokutemea mate usoni, ataona kumbe siku zote alipotea njia.
 
Back
Top Bottom