Madam itakuchukua muda sana kuyaelewa haya mambo,
Japo sikulaumu.huyo kuku ni mtamu Mara 100 akiwa chukuchuku kuliko mkianza kumharibu na maviungo..
kwa upande wangu chukuchuku yoyote ile huwa naielewa sana, labda kwa sababu ya mazingira nimelelewa,
Mimi wife anichemshie tu nyama nyingi na anijazie chuzi jingi lisilo na kiungo chochote,
Au anichemshie majani ya maharage chukuchuku na dona safi na samaki wa maji safi..[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] ,