me hapa Naona ugali na supu, na hiyo pembeni sijui mafuta ya kula.Huo ndo Msosi wa wanaume sio chipsi yai na mshikaji mmoja tena unafinyango 3 eti umekula ukinywa Castle Lite 2 unajiona umepatia kumbe unajiua kimya kimya
kula ugali Dona wenye afya,
huyo zagamba wako akipanda akipanda kifuani dakika 2 tu hoi hadi kesho
me hapa Naona ugali na supu, na hiyo pembeni sijui mafuta ya kula.
hiyo ya njano ni nini eti?
sijaona upishi hapo bother....Hiyo ni white soup ya kuku wa kienyeji amechemshwa then supu unaweka kwenye bakuli yake na nyama kwenye bakuli yake
KUMBE MUMEO HAJAWAI KUKULETEA KUKU MZIMA UMPIKE MWENYEWE EEEE
ANAKULETEAGA WALE WA KWENYE MABANDA YA CHIPSI YALIVYOPANGANA BARABARANI KAMA TV
haahahahaha Jamani....Hivi inakuwaje mtu anakula chakula cha mifugo . Hiki ni cha nguruwe kabisa.
Nitakapokuoa mida kama hii utakuwa umeshapika,umeshaosha vyombo vya kulia chakula,umedeki ndani,umeshamuogesha mtoto wetu,umeshafua boxer zangu,umefua soks zangu,umeshatandika kitanda,umepiga pasi nguo zangu za kuvaa kazini kesho,umeshaninyoa ndevu zangu na sasa unasubiri kunipa K usiku![emoji1]haahahahaha Jamani....
usisemee hivyo "mapishi" ya watu...
mume Wangu unaota kwa sauti Sana siku hizi hadi naogopa. eti umeota nafanya kazi za nyumbani. HAHAHA. kapike chai bwana tunachelewa kwenda JOB. hata Jana hujanyoosha Nguo zetu, unapoteza sana muda JF.Nitakapokuoa mida kama hii utakuwa umeshapika,umeshaosha vyombo vya kulia chakula,umedeki ndani,umeshamuogesha mtoto wetu,umeshafua boxer zangu,umefua soks zangu,umeshatandika kitanda,umepiga pasi nguo zangu za kuvaa kazini kesho,umeshaninyoa ndevu zangu na sasa unasubiri kunipa K usiku![emoji1]
Ha!haa!!haaaaaa!!!mume Wangu unaota kwa sauti Sana siku hizi hadi naogopa. eti umeota nafanya kazi za nyumbani. HAHAHA. kapike chai bwana tunachelewa kwenda JOB. hata Jana hujanyoosha Nguo zetu, unapoteza sana muda JF.
Hahhahahaah.... Daaaah! JF never disappoint meWanaume wa Dar hapo watatafuta umma na kisu.
hahahaaa! hako ka neno mkuu sijui mwanzilishi wake ni shilole? daah..Ha ha ha wanaume wa dar wakipost picha kama hiyoo wanaweka vimaneno vyao ugali vepeee
[URL][URL][URL][URL][URL][URL][URL][URL][URL][URL][/URL][/URL][/URL][/URL][/URL][/URL][/URL][/Uhttp://RL][/URL][/URL]http://hahahahahaha *****, hapo pela likasomeee chuo kikuu! Unaweza kuvunja choo kipindi ukiliondoa mwilini sio siri.
Huo utakuwa ugali wa ulezi bila shaka
Dar! Leo lazima niende malikusema nikakandamize kamchemsho ka kuku wa kienyeji.
Hii dozi ya miezi 6, lazima kaheshima karudi kidogo! teh teh
Ha ha ha. Daaah! Hii nimecheka kwa sauti.wanaume wa dar watasema ugali mchungu wanaomba halua watafunie huo ugali.
Mkuu Haswaaaaa! Kitu cha Bada, nilikuwa napitia post najiuliza yaani hakuna anayejua hii kitu kule kwetu inaitwaje??!Bada
Duh, yaani hiyo chukuchuku ya kuku (ing'uku) hadi nasikia harufu yake tamu. Ila hapo inabidi mkuu uongezee na bakuki la majani ya maharage na njegere na mtindi kikombe japo kimoja,
Hii dozi ya miezi 6, lazima kaheshima karudi kidogo! teh teh
Hawezi wamezoea chepechepe, laini. Hapo lazima wa obey. Choo itawapa tabu kutoka
Hii dozi ya miezi 6, lazima kaheshima karudi kidogo! teh teh
Teh teh teh lazima majirani wasikie mtu anavyougulia wakati kusha mbolea.Wakati wa kujisaidia ndio utajua shida yake.
Ila ukila hiyo nguna asubuhi, mchana hauli kitu yaani unakunywa maji tu.