Ni kweli kabisa wanaume wa Dar si tu wanakamuliwa juisi, bali hata wakitaka kwenda Morogoro wanapanda basi au gari binafsi, pia hata wakianzisha miradi ya kilimo wenye uwezo wanatumia matrekta. Nimeona pia hata gari ikipata pancha wanatumia jeki kuinua gari wakati wa kubadilisha tairi