Wanaume wa Dar hamuishiwi vituko

Yesu wangu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Vipi ni nani maana wanaume wa Dar mnajuana kwa dressing Table
 
mbona kama kwa nyuma kuna kitu kinaendelea?
 
samahani kwa kuweka picha yako Mwanaume wa Dar, ila una boobs za ukweli sifa lazima nikupe
ona sasa ulivo mlugaluga, hizo boobs au kifua nazi? kweli jogoo wa shamba hawiki mjini [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ona sasa ulivo mlugaluga, hizo boobs au kifua nazi? kweli jogoo wa shamba hawiki mjini [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu hizo ni boobs, we huoni zilivyovimba? Na kwanini usivae sidiria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…