Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.
Hance Mtanashati njoo hukuUnakutana na mwanaume wa dar njiani. Upo zako hai hai kufanya mambo yako ya maana...
Sijamuhukumu mtu.kwani mkanda sh ngapi mkuu??jipende kwanzaSasa mkuu si uwe unawakataa hukohuko, halafu unawezaje kumjudge mtu kwa muonekano wake.
Umesahau kutaja chupi aliovaa πHapo ukimzoom mkanda aliovaa na viatu na saa unajua tu huyu ana deni songesha na mpawa.
Sasa kuna mwanamke anagegedwa kirahisi hivo kweli??Yaani mtu ana namba yako na bado anakutana na wewe njiani hajui unaenda wapi anaomba mkae sehemu muongee muda huo huo???
Huyo atakuwa alishikwa na nyege vibaya basi yupo njiani anaangaza angaza aone nani ataokoa jahazi.
HahahahaYaani mtu ana namba yako na bado anakutana na wewe njiani hajui unaenda wapi anaomba mkae sehemu muongee muda huo huo???
Huyo atakuwa alishikwa na nyege vibaya basi yupo njiani anaangaza angaza aone nani ataokoa jahazi.
Mkanda avae wa ovyo chupi ndo atakuwa nayo mkuu??Umesahau kutaja chupi aliovaa [emoji23]
Naomba Appointment please.mkoani ni wastaarabu wanaomba appointment kabisa siku flani dada naweza kupata muda niongee na wewe?? Au lini utanipa muda.
Habari yako.Yaani mtu ana namba yako na bado anakutana na wewe njiani hajui unaenda wapi anaomba mkae sehemu muongee muda huo huo???
Huyo atakuwa alishikwa na nyege vibaya basi yupo njiani anaangaza angaza aone nani ataokoa jahazi.
Aisee πππSasa si ndo type zako vumilia mkuu
Sasa kuna mwanamke anagegedwa kirahisi hivo kweli??
Una ugomvi wewe na hao wanaume wa Chalamila sio bure kwa michano hiyo ππMkanda avae wa ovyo chupi ndo atakuwa nayo mkuu??
Jamani Hannah π€£π€£π€£π€£π€£πWapo kipenzi wengi sana. Uswahilini kwetu huko mtu anaenda dukani kununua unga kaacha maji ya ugali jikoni na anarudi ameshagegedwa amepewa zake buku 10.
Habari yako.