na mimi ni wa usiku tuu ndo tatizo
hamtaendana
bora tuu mkae mbalimbali
na mimi ni wa usiku tuu ndo tatizo
Nahisi kuna mtu alitaka kukuingiza chaka dadaanguupo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
Hahahah...babu!Bebii pole mwaego, Naamini mlitumia condom.
Next time omba ushauri kwangu kabla hujatoa namba za simu.
Zinatakiwa siku ngapi bebii?haaaa sasa huko mlikofika siko? siku moja tu weeeeeeeeeee
Hahahaha......... Heri mimi sijasema!Hahahah...babu!
Unamaanisha tayari mtu keshamegwa?
Maneno ya babu hayo..mi sijasema!amegwe nani labda unimege wewe
Kutopigiana simu usiku haiwezi kuwa vigezo?nyingi sana vigezo na masharti kuzingatiwa
Kumegwa ndo nini?amegwe nani? labda unimege wewe
Khaa! We mtu vipi? Zali hilo, ushadondokewa!Maneno ya babu hayo..mi sijasema!
Ngoja niku PM nikutafute!!
Na sharti la kwanza?hapo sasa? kinaeza kuwa cha kwanza
Maneno ya babu hayo..mi sijasema!
Ngoja niku PM nikutafute!!
Hili zali Rejao, alipokuambia ummege wewe kama kawaida na miwivu yangu imeniletea Mushkeliamegwe nani? labda unimege wewe
Tena umenikumbusha!angesema basi yeye anapatikana mchana tu usiku yupo lindoni
Nimekuchagua wewechagua