Wanaume wa .com

upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni usiku saa tatu unasema ngoja nipimpigie yule kaka hata nirefresh mind loooh halooo ... halooo...sikuskii kesho uje ofsini. khaa asbui anapiga unauchuna unapiga tena usiku inazimwa kabisa..... kwani shida ni nini? au ushamba?kama una ndoa si utulie na ndoa jamani? khaaa.
Nahisi kuna mtu alitaka kukuingiza chaka dadaangu
 
Bebii pole mwaego, Naamini mlitumia condom.

Next time omba ushauri kwangu kabla hujatoa namba za simu.
 
angesema basi yeye anapatikana mchana tu usiku yupo lindoni
Tena umenikumbusha!

mabinti wengine wanamapozi sana. utakuta umempenda sana halafu anaanza kukupa masharti oooh! sipendi unipigie simu usiku....ooh! sijui....nini na nini!
sasa unakuta mtu kama mimi huwa kuna wakati narudi nyumbani saa tano usiku, nioge niandae outfit za kesho halafu nipumzike kwa bahati nzuri kabla hujaishia usingizini unamkumbuka unampigia unakutana na majibu kama hayo....kwa mtu kama mimi sikutafuti tena.
 
Back
Top Bottom