Wanaume viumbe wa ajabu sana kunako kwenye mavituzi..

Wanawake wa siku hizi wana mambo alafu kuna mwehu mwenzangu anawaza kumuweka mwanamke kama uyu ndani nawaza watoto wanaenda kupata malezi gani teheeee teheee tuliambiwa tuishi nao kwa akili hawa viumbe ila wa siku hizi inahitajika zaidi ya akili.
 
Back
Top Bottom