Wanaume viumbe wa ajabu sana kunako kwenye mavituzi..

amanda cute

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
244
500
Nilikua katika pita pita zangu nikasikia wanaume wakijisifu vitu vya ajabu sana

Kumbe wanaume mnaweza kukaa mahali watu wakadhani mnayaongea ya maana kumbe ni habari za ngono tuu na za kujisifu kuwa yule mwanamke nilisex nae nimemkomoa sana nimepiga mpakaa nimemkojolesha vitano haaaa

Nani kakuambia wewe, sisi wanawake kutuelewa ni vigumu sana siyo kila mkiingia faragha na mwanamke anafika kileleni au analia kwa raha wengine ni wizi tuu ili ukate pochi nene.... na wengine wanalia uongo tuu ili mwanaume uone kuwa una dushe kubwa na papuchi inabana kumbe mida si mrefu katoka kubebika kwa mwingine anaemkuna vizuri..

Wanaume kila kukicha wengine wanashinda gym kutengeneza six pack ili wapendwe na wanawake, wengine kila kukicha wanatumia viagra, kongo dust, supu ya pweza, wengine akiwa na mpenzi wake mpaka abust konyagi ili achelewe kufika kileleni eti amsugue dem mpaka alie haaaaa

Mnasahau kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu sana mapenzi hisia alaaa ata usugue mpaka asubuhi kama hana hisia na wewe hawezi kuenjoy love kabisa hata usugue vipi hatofika kileleni poleni sana kutoelewa hamtoelewa poleni sana masharobaro......
 

Aigoo

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
3,056
2,000
Mi najua wanawake ndo viumbe wa ajabu

Afu bila shaka hao unaowasema watakuwa wanaume wa dar..mikoan hatuna mambo hyo
Karibu mkoan amanda
 

andjul

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
17,752
2,000
Kabla ya kuchepuka kuna bajeti ya matumizi inapitishwa na halmashauri ya kichwa. Kwa maana ya kula, kunywa,guest house, nauli, n.k. Kwahiyo mwanamke hata ungejiliza vipi na ujinyongenyonge utadhani nyoka aliye mwagiwa mafuta ya taa, hautabadilisha kiwango cha kuhongwa. Labda inasaidia usisahaulike kwenye wito ujao
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,272
2,000
Amanda leo ndiyo tunapokea ile ripoti ya pili ya makinikia na ndiyo kwanza siku inaanza.
 

cute b

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
16,929
2,000
Ha ha ha haaaaaaaa,
Kweli dear wanaume huwa tunawadanganya kama watoto wadogo,
Bila aibu wanajisifu eti "umeikubali machine yangu inavyopiga kazi eti?"
Kumbe wala hata zile yowe zilikuwa za kumjaza kichwa akojoe ashuke.
 

cute b

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
16,929
2,000
Mkuu uko ukanda huu wa Africa mashariki kweli..!? Kwa sababu mda huu huku tuko na harakati za maofisini.
Ugawanyikaji wa majukumu, ndiyo maana wengine wanaenda kazini, wengine wamelala, wengine wanaenda tour, wengine wapo kitandani na mabebez.
 

amanda cute

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
244
500
Ha ha ha haaaaaaaa,
Kweli dear wanaume huwa tunawadanganya kama watoto wadogo,
Bila aibu wanajisifu eti "umeikubali machine yangu inavyopiga kazi eti?"
Kumbe wala hata zile yowe zilikuwa za kumjaza kichwa akojoe ashuke.
Haaaaa umeona ee bi dada yaani wanadhani yale Mayowe ndiyo wanatukomoa
 

kikale

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
422
500
Kwa mfano ww...Huwa unalia nn unapofanywa ule mchezo?.au ndio Mama alikukataza wakati wa kula hawaongei usije ukapaliwa?
 

amanda cute

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
244
500
Mi najua wanawake ndo viumbe wa ajabu

Afu bila shaka hao unaowasema watakuwa wanaume wa dar..mikoan hatuna mambo hyo
Karibu mkoan amanda
Hamna cha wanaume wa au wa mkoani tena wa mkoani ndiyo washambaaa kama wasukuma mamaaaa akiona mwanamke mweupe na umlilie uongo atakuhonga adi moyo
 

Kingeke Mavoya

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
619
1,000
nilikua katika pita pita zangu nikasikia wanaume wakijisifu vitu vya ajabu sana kumbe wanaume mnaweza kukaa mahali watu wakadhani mnayaongea ya maana kumbe ni habari za ngono tuu na za kujisifu kuwa yule mwanamke nilisex nae nimemkomoa sana nimepiga mpakaa nimemkojolesha vitano haaaa nani kakuambia wewe sisi wanawake kutuelewa ni vingumu sana siyo kila mkiingia faragha na mwanamke anafika kileleni au analia kwa raha wengine ni wizi tuu ili ukate pochi nene.... na wengine wanalia uongo tuu ili mwanaume uone kua una dushe kubwa na papuchi inabana kumbe mida si mrefu katoka kubebika kwa mwingine anaemkuna vizuri.. wanaume kila kukucha wengine wanashinda gym kutengeneza six pack ili wapendwe na wanawake wengine kila kukicha wanatumia viagra, kongo dust, supu ya pweza, wengine akiwa na mpenzi wake mpaka abust konyagi ili achelewe kufika kileleni eti amsugue dem mpaka alie haaaaa mnasahau kua mwanamke ni kiumbe dhaifu sana mapenzi hisia alaaa ata usugue mpaka asubuhi kama hana hisia na wewe hawezi kuenjoy love kabisa ata usugue vipi hatofika kileleni poleni sana kuteelewa hamtoelewa poleni sana masharobaro......
Mh spika kwanza nikushukuru kwakunipa nafasi hii, ningependa kuzungumzia suala la wanawake :-

Kwanza niseme Mimi wanawake siwaelewi kabisa mara mnasema mwanamke kiumbe dhaifu mkikaa kidogo utaskia hoja inasema wanawake wana akili sana kidogo tena haki sawa ila mimi nitabaki hapa kwenye mwanamke ni kiumbe dhaifu ndo maana hajui hata anachokitafuta kwa mwanaume au katika ndoa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom