Wanaume: Vijue visa vya michepuko

Hayo ni matendo makuu Mungu amewatendea nendeni makanisani na misikitini mkamtukuze Mungu na msirudi nyuma kamwe!!!
 

Nachomkubali STUNTER mada zake huwa na kauhalisia fulani hivi na za kuburudisha pia. binafsi huwa naenjoi
 
Haaa haaa stunter katika ubora wake
 
Acha zako wew, bora usingecomment umeharibu. Kila MTU na life yake Fanya yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…