Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Me cjakuelewa,kwani kumfikisha mwanamke kileleni kunahitaji pumzi sana mpaka mtu afanye mazoezi na kula vizuri!? Me nilijua ni maandalizi na wote 2 akili zenu ziwe pale,siyo 1 yupo busy mwingine anawaza atakavyopata ankara ya kula!
sasa hapo kwenye maandalizi ndio mnapochemsha wengi mnahesabu leo nimefunga nane
umefunga 8 kudadadeki!swali unayafungaje hayo 8