Wanaume uwezo umeshuka?

Huwa tunasema kadri tairi la gari linavyotumika sana ndivyo linavyozidi kuchakaa. Pia mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Katika sentensi hizi mbili lazima moja inaukweli juu ya tatizo hilo.

Kaka umepata.
 
Nimependa sana malumbano yenu hapo juu, Wanaume mazoez mpango mzma.
 
Ahaaa! Rose sikupotezei wala nini. Hapa akishafika sita kwa sita anataka eti ukate kiuno kwa mtarimboo upi? wanaume fanyeni mazoezi jamani vinginevyo ma boy house watautia kasi! chukua hatua!

nimejikuta naachia kicheko...wee caro wewe hahahaa
hapo chacha
 

swadakta girl
 
tatizo wanaume sio wabunifu haya mambo hayahitaji nguvu kabisa
 

ebu nipm rose nikueleze jambo pls!
 
Kwani pombe inaongeza nguvu au inapunguza? Mi nikirudi home bila kunywa mama anajua leo shughuli. Na yeye akitaka ananiambia mapema baba leo usinywe
sasa wengine mpaka walewe ndio linawika?
 
wewe rose wewe!!! utanyweka supu!!! (hapo kwenye red)
 
Kwani pombe inaongeza nguvu au inapunguza? Mi nikirudi home bila kunywa mama anajua leo shughuli. Na yeye akitaka ananiambia mapema baba leo usinywe
sasa wengine mpaka walewe ndio linawika?
Inategemea mkuu! Maana si wengine tukila gambe hushuka chini. Baada ya hapo hilo game lake si la kitoto.
 
hata siwaelewi wanaume kwani mnafanya mapenzi ili iweje?

bebii hacha izo kwani wewe unavyofanga mapenzi huwa ni kwa nini usiulize mk...nd wa mbwa wakati mkia unauona we funua tu huo mkia utaona.
 

Tawire baba ,tena kwa kukazia tu mi nakumbuka enzi zile ilikuwa nanawa tu adi mtu anafika lakini sahizi thubuuuutu !!
utahema hadi useme iki nini !!
 
ishu watoto wakali kuwa-maintain ni kazi sana, hasa ukichukulia wanahitaji uwekezaji mkubwa hivyo mtu anawekeza na anataka apate faida siku hiyohiyo ili hata kama wameachana awe amerudisha faida(bao saba)
pigeni msosi wa nguvu na muwe na mazoezi siyo makali sana ila marahisi ila endelevu.jaribuni kuunguza mafuta yaliyo mwilini mwenu ukitegemea mko kwenye nchi za joto. Epukeni vitu vya mafuta sana na kama unavila basi unguza hayo mafuta kwakufanya mazoezi. Nawasilisha
 

naona point hapa,kweli bwana unajua wanawake wengine washasuguliwa mpaka ngozi imekuwa sugu kiasi cha kuchelewa sana kusence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…