Meljons
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 3,105
- 1,409
Wanavyozidi kuwa ma-big na vidude vinakuwa vidogo zaidi
Viduchuuu
Viduchuuu
Kweli eeh??
Aisee pamoja na wanawake wote waliokuwa hapo lakini hata kusimamisha hawasimamishi.
Napita tuuu....
yaani hivyo vidude vyao vinaingia mara 3 kwangu. Kweli mungu anajua kutofautisha!
Mie ndio nilikuwa nashangaa, halafu mawazo nikayapeleka kwa watu wenye maumbo hayo. Nimecheka sana.Hivyo vikengele.....viduchu
Naona unatangaza biashara hapa.
Hatudanganyiki ng'oo.
Humpati mtu.
Teh teh teh.... Kwi kwi kwi..... Mecheka mpaka mekaa chini!!!!
kumbe hii nayo ni biashara madame? Mimi sikujua kama nayo ni biashara.ngoja nianze kutafuta masoko.niunge mkono basi.
Hebu nipishe mieeeeeeeeeeeee
ha ha ha ha ha ha ha ha madame bwanaaa.
Naona unatangaza biashara hapa.
Hatudanganyiki ng'oo.
Humpati mtu.
pm majaribu matupu mtu anakupm eti nipe no yako nikurushie mpesa ya wekend laki tano...wewe utafanyeje!mitego tu kule
my HOE.... huko Ethiopia ni baridii Sana !!mwili mkubwa vinanilihi vidunchu.........
kama ni hivyo wembamba ndio dili aisee