VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Mwanaume ukiona mwanamke wako kukutembelea ni hadi umbembeleze na kumuomba sana tena ni hadi utekeleze masharti yake kadha wa kadha ikiwemo kumtumia nauli hapo ndugu yangu shtuka mapema uamke usingizini, huyo mwanamke hakupendi hata kidogo. Huu ni ukweli mchungu ambao kila mwanaume anapaswa kuumeza kama shubiri. Lakini pia huu ni ukweli mchungu ambao wanawake wengi wasingetamani usemwe hadharani namna hii.
Mwanamke mwenye upendo wa dhati na mwenye mahaba na huba kwa uzoefu wangu Mwenyekiti hakosi nauli ya kuja kukuona.
Mwanamke anayekupenda kwa dhati hakosi muda wa kuja kukusalimia.
Mwanamke anayekupenda kwa dhati hana visingizio na excuse za hapa na pale. Hata kama yupo kazini atapata tu muda wa kuja.
Ukisikia anakuambia sina muda, sina nauli, nikipata muda n.k wewe fahamu tu kuwa wewe sio kipaumbele chake.
Ama nasema uongo ndugu zangu?