Wanaume ujanani fainali uzeeni

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Kama hamtajitahidi kutengeneza pesa vizuri ujanani ili uzeeni uishi vizuri

Wewe nisomeshee wanangu wakipata kazi mikoani mimi ni kuzurura tu huko kwa wanangu najua wewe huwezi kwenda kuishi kwa wanao, wewe huku kwako unapambana na hali yako.

Ndio maana mnawahi kufa.
 
Siwezi kwenda kwa mkwelima naenda kwa vijana wangu
Ndio nakuuliza ukawastress wake zao? Maana unajua tension ya kukaa na mama mkwe, mara umpikie uji wa lishe, mara ukimpakulia mwanae mboga akague halafu anune, acha hayo mawazo...... tengeneza kwako, nenda likizo kasalimie wajukuu mwezi inatosha sio kwenda kuwakalia mguu kausha watakuchoka.
 
Pongezi saaana Joannah yaani mke badala ya kukaa na mmeo ukamliwaza unaenda kutia kiwingu kwenye ndoa za watoto wenu! Naomba ujengewe mnara pale Magufuli terminal mbezi
🤣🤣🤣Nitachangia nondo ishirini!! Kweli tuache hizi kasumba, yaani watoto hata hawajaanza kujitegemea mzazi unamngojea Kwa hamu apate kazi, aoe ukakae kwake!! What is this! Kila mtu anapenda uhuru na mume wake, mama mkwe unakimbia mji utaona Mzee wa watu anahangaika tu hapo bila msaada.
 
🤣🤣🤣Nitachangia nondo ishirini!!
Kweli tuache hizi kasumba,yaani watoto hata hawajaanza kujitegemea mzazi unamngojea Kwa hamu apate kazi,aoe ukakae kwake!!what is this!kila mtu anapenda uhuru na mume wake,mama mkwe unakimbia mji utaona Mzee wa watu anahangaika tu hapo bila msaada
Tabia hizi wanazo sana wanawake wa Kiafrika
Ndo maana mimi nimeanza kujiwekea akiba kabisa nataka mpaka nifikishe 45 yrs nipo nakula goodtime
 
Back
Top Bottom