Yana uhusiano mzuri kabisaMazoezi au kazi za nguvu hazina uhusiano na nguvu za kiume ni dhana tu ambao imejengeka kwa watu.
Ishi humo humo asili ni tiba na dawa nyingine nzuri ni fedha ukiwa na fedha unakuwa na nguvu vizuri maana itakuwa rahisi kuzingatia ushauri wowote uleAhsantee sana mkuu saivi naishi kiasili zaidi.
Mazoezi yanajenga afya ya mwili wote kitu ambacho ni muhimu katika utendaji wako wote ikiwemo na tendo la ndoa usiache kuyafanyaNaweza kukubali au ni kakata mkuu lkn kiukwel nisipofanya mazoezi licha ya kupungukiwa nguvu tu pumzi pia hukata mapema sana!
Uko sawaMazoezi yanajenga afya ya mwili wote kitu ambacho ni muhimu katika utendaji wako wote ikiwemo na tendo la ndoa usiache kuyafanya
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Ishi humo humo asili ni tiba na dawa nyingine nzuri ni fedha ukiwa na fedha unakuwa na nguvu vizuri maana itakuwa rahisi kuzingatia ushauri wowote ule
Hata sekunde5
Mkuu nilkuwa na kibunda Cha maana lkn wapi ni full fedheha yanachana na mkongo na butululu...... we zingatia kibunda kiwepo cha kutosha tatizo la kukosa nguvu za kiume utaskiaga tu kwa wengine.....
Yana uhusiano kwa sababu;Mazoezi au kazi za nguvu hazina uhusiano na nguvu za kiume ni dhana tu ambao imejengeka kwa watu.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu wewe una upwiru tuYote ktk yote hii topic inatia nyege sana.
Mazoezi ni tiba na si nguvu za kiume tuYana uhusiano kwa sababu;
1. Kuimarisha mzunguko wa damu mwilini. Hii husaidia hata flow ya damu kuingia na kutoka kwenye pe.n*s hivyo kuimarisha uwezo wa kusimama kwa mda mrefu.
2. Huunguza mafuta ya ziada. Hii husaidia namba 1 hapo juu kuimarika.
3. Humpa mtu uwezo mkubwa wa kubalance pumzi wakati wa kazi/tendo. Baadhi ya watu wana changamoto ya kuishiwa pumzi wakati wa shughuli. Mazoezi husaidia kumpa mtu stamina.
4. Husaidia kuunguza sukari za ziada (glucose) iliyohifafhiwa kwenye tissue. Hii husaidia kubalance mwili na kuupa stamina ambayo huimarisha tendo.
Context yake ni kwenye nguvu za kiume.Mazoezi ni tiba na si nguvu za kiume tu
Utabanduliwa mke wako kimasiala sanaNguvu za kiume ni hela
Watulie sasaNilichogundua humu wengi wanaolia lia nguvu za kiume ni vibabu, jamani mkubali kuzeeka tangu mna miaka 18 mnadinya hadi miaka 50 au 60 mnataka muendelee tena kwa uwezo ule ule!!! Leeni wajukuu zenu huko.
Life style madame [emoji23][emoji23]mbona Mimi huko sko kwenye hiyo miakaNilichogundua humu wengi wanaolia lia nguvu za kiume ni vibabu, jamani mkubali kuzeeka tangu mna miaka 18 mnadinya hadi miaka 50 au 60 mnataka muendelee tena kwa uwezo ule ule!!! Leeni wajukuu zenu huko.