Wanaume Tuweni Makini Sana!

Wanaume Tuweni Makini Sana!

mtoa mada ni wapi huko nikalishuhudie hilo vumbi la kwenye uke!

nakumbuka nilipokua mdogo mabinti wa pale mtaani kwetu walikua wakiolewa sehemu nyingine zinakuja tetesi eti kakutwa ni bikra wakati mtaani kwetu watu walipitia sana mi nimeshuhudia vurugu kati ya mke na mme mke pindi ameolewa alikutwa bikra baadae ikagundulika kua yule dada alikua amesha za na mwaume mwingine mkoani kwao
 
Ndo umebalehe jana?
Yaani watoto bana, akijifunza kuchinja kifaranga basi anadhani hata simba anachinjwa hivyo hivyo

mh! Tabu ni kuwa simu haina option ya like ila hii nimeipenda sana kongosho. Pata like ten times.
Ila nimecheka kwa sauti ndani ya daladala hata huyu mdada niliyekaa nae kanishangaa!
 
Backwards societies are almost invariably characterized by a disproportionately overzealous preoccupation with unrealistic quests for fabulous chastity.
 
mdogo wangu siku hizi nimeamua kuwa mpole sana nimechoka kuona nyuzi zenye utoto.

jiulize vim iekwe ukeni halafu eti itoe povu kweli haya?? kwann ute tu ulioko ukeni usiitoeshe povu?? haya ueke sabuni ya magadi hivi huyu mtoa mada anaakili??

alishawah kujiuliza swali hili?? kwann wana wake hawafanyi punyeto kwa kutumia sabuni kama akina kaka?? akiwza kujijibu swali hili atjua kwann njia aliyosema ya kueka hayo makitu i uongo ama kalishwa kasa.

chukua like hiyo mkuu,mbna this has been more than just exaggeration. Literally ktk hizo methods za kuforge hixo kitu hakuna hata inayowezekana..
 
nakumbuka nilipokua mdogo mabinti wa pale mtaani kwetu walikua wakiolewa sehemu nyingine zinakuja tetesi eti kakutwa ni bikra wakati mtaani kwetu watu walipitia sana mi nimeshuhudia vurugu kati ya mke na mme mke pindi ameolewa alikutwa bikra baadae ikagundulika kua yule dada alikua amesha za na mwaume mwingine mkoani kwao

Alizaaga, halafu akaja kurudisha BKR!!!?? Hiyo kali
Wanawake nao wamezizi kuchokonoa chokonoa hicho kiungo.
Mara wanaweka asali, mara dildo, mara bikira ya bandia, mara waweke makemical kibao,hapo bado sperm na mafuta ya ndomu.Duh ndio maana K za mjini sikuhizi sio tamu..!
 
WANAUME,tuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi.Ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa Washirikina kwa kwenda kwa Waganga na kupewa dawa za kukukamata,kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj za kiburugwa,wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela,utapigwa tukio mpaka ushangae.Atajifanya descent na hajui kitu,atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu...OGOPA SANA!
Siku ya kufanya Mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia,ukishika nywele analia...ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa,ukianza kuzama ndo kabisa,unaweza kudhani uko kwenye Msiba wa Kinyakyusa....utasikia taratibu,utafinywa,utapushiwa kama vile ndo unaitoa,kumbe wala...
Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia Ndimu,mchangany-iko wa parachichi na tikiti maji,Sabuni ya Kaisiki na Vim ya kuondolea harufu chooni...Ukigusa unahisi bikira kumbe wala,umetegwa...Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua...dawa yao unakaa na beseni,akizuga unamwagia maji pale juu,litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai...BEWARE na hizi bikira za makuti!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

siyo kosa lako hata user name yako inareflect your thinking capacity
 
Backwards societies are almost invariably characterized by a disproportionately overzealous preoccupation with unrealistic quests for fabulous chastity.

mh! Sasa mkuu hapo hiyo english yako imeniacha mbali mie product ya senti kayumc na hata dictionary sina. Najua wengi wamepotea hapa ila wameuchuna. Anyway ngoja nikatafute dictionary maana hapa niko bize na dayari nakopi huu uzi.
 
Kutafuta bikira ya mwili bila kujali mengine ni ufinyu wa mawazo.

Bikira ni zaidi ya hali ya kitundu cha haja.

Mdada anayeuza picha za uchi kwenye internet na ana hotline ya phonesex, kila siku anahudumia wateja kwenye simu, ambaye kimwili hajaguswa ni bikira au si bikira?
 
Kwi kwiii kwiiiiii kwiiiiiiiiiiiiiiii ... naomba maji nisikaukiwe lol

By the way .. Wanawake na sie tuwe makini na hawa wanaume, wana viungo kibao vya kukorombeza dushelele zao .. Mara ku expand, contract, sijui kurefusha dushelele zao .. Basi kila mahali feki feki .. Wapi tbs ya hizi kitu???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Rural Swagga.. Tel us huyu wa haya maviungo sio yule aliekwambia wewe ni ka kid kweli???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kutafuta bikira ya mwili bila kujali mengine ni ufinyu wa mawazo.

Bikira ni zaidi ya hali ya kitundu cha haja.

Mdada anayeuza picha za uchi kwenye internet na ana hotline ya phonesex, kila siku anahudumia wateja kwenye simu, ambaye kimwili hajaguswa ni bikira au si bikira?
Mh!! hilo nalo ni neno kwa kweli, ila mie nadhani bikira yabidi iendane na hata usafi wa fikira na sio kuwa na papuchi sealed pekee,kwani wapo wanaodai kuwa ni mabikira na wakati wamefanya sana oral sex na wengine 0713 ila papuchi bado kuguswa
 
huo ni mtazamo wako mkuu uwe negative ama positive nitauheshimu,,tembea uone kaka

vitu vingine muwe mnauliza basi kabla ya kupost labda nikuulize swali kwann mwanamke hatumii sabuni kama anafanya punyeto??

Pia vim inatumia chemicals gani kwenye composition yake?? Je je vim parachichi na tikiti maji ni compatible ama sio??

Kwa jaribio dogo tu fanya hivi kata tikiti weka kwenye glas na parachichi lililomenywa kisha weka sabuni yyte ya magadi ndani yake halafu ueke vim koroga sana vichanganyike kabisa kisha mimina kiasi juu ya ngozi yako uniambaie nini kitatokea. Kisha chota kidogo weka kwenye jicho lako utaniambia nini kitatokea. Halaf hapo ndipo utakuja na huu mjadala vzr.

So far kama unaoa bikra tu ukasahauutu wa ndani bado wewe uko karne ya zilipendwa
 
Ahsante sana mkuu, ngoja nikanunue beseni.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kazi unayo, so utaenda na beseni huko kunako makutano?

Kwa kweli poleni sana.
 
WANAUME,tuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi.Ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa Washirikina kwa kwenda kwa Waganga na kupewa dawa za kukukamata,kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj za kiburugwa,wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela,utapigwa tukio mpaka ushangae.Atajifanya descent na hajui kitu,atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu...OGOPA SANA!
Siku ya kufanya Mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia,ukishika nywele analia...ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa,ukianza kuzama ndo kabisa,unaweza kudhani uko kwenye Msiba wa Kinyakyusa....utasikia taratibu,utafinywa,utapushiwa kama vile ndo unaitoa,kumbe wala...
Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia Ndimu,mchangany-iko wa parachichi na tikiti maji,Sabuni ya Kaisiki na Vim ya kuondolea harufu chooni...Ukigusa unahisi bikira kumbe wala,umetegwa...Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua...dawa yao unakaa na beseni,akizuga unamwagia maji pale juu,litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai...BEWARE na hizi bikira za makuti!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Sitaki kuamini katika dunia ya leo mwanaume muoaji kweeli anaweza akaoa au akadate na mwanamke anaetaka kumuoa bila kuwa amemchunguza tabia zake na kujua background yake.

Na si kweli kuwa eti kaisiki, siju ndimu au shabu sijui eti zinarudisha bikira. Never never, bikira ikishatoka imetokaa na km wewe ni mwanaume haswaaa, huwezi ukaingiliana na mwanamke aliyetumia vitu hivyo na ukadanganyika kuwa ana bikira hata akiwa ma mbwembwe za kulia kiasi gaani.

Vitu hivyo vinaweza kufanya sehemu zile zikawa tight kwa kiasi fulani but si eti hadi uchanganyikiwe kusema umedu na bikra kumbe changa la macho.

Alafuu ni nani aliyewadanganya kuwa wasichana bikra ndo wazuri kuoa? refer wimbo wa prof jay, alenda oa bikra kijijini.
 
vitu vingine muwe mnauliza basi kabla ya kupost labda nikuulize swali kwann mwanamke hatumii sabuni kama anafanya punyeto??

Pia vim inatumia chemicals gani kwenye composition yake?? Je je vim parachichi na tikiti maji ni compatible ama sio??

Kwa jaribio dogo tu fanya hivi kata tikiti weka kwenye glas na parachichi lililomenywa kisha weka sabuni yyte ya magadi ndani yake halafu ueke vim koroga sana vichanganyike kabisa kisha mimina kiasi juu ya ngozi yako uniambaie nini kitatokea. Kisha chota kidogo weka kwenye jicho lako utaniambia nini kitatokea. Halaf hapo ndipo utakuja na huu mjadala vzr.

So far kama unaoa bikra tu ukasahauutu wa ndani bado wewe uko karne ya zilipendwa

Nazidi kukupenda dada yangu
 
siyo kosa lako hata user name yako inareflect your thinking capacity

I agree with u 100% thinking capacity yangu na yako ni vitu viwili tofauti>Tuliza akili soma hiyo post kwa makini utajua nazungumzia nini usikurupuke.Na kwa jinsi ulivyocomment napata picha wewe ni mmoja wapo kati ya wale wanaobahatisha maisha hapa mjini.Hujielewi kabisaaa
 
Back
Top Bottom