Wanaume Tuweni Makini Sana!

Wanaume Tuweni Makini Sana!

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,643
Reaction score
1,176
WANAUME,tuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi.Ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa Washirikina kwa kwenda kwa Waganga na kupewa dawa za kukukamata,kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj za kiburugwa,wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela,utapigwa tukio mpaka ushangae.Atajifanya descent na hajui kitu,atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu...OGOPA SANA!
Siku ya kufanya Mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia,ukishika nywele analia...ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa,ukianza kuzama ndo kabisa,unaweza kudhani uko kwenye Msiba wa Kinyakyusa....utasikia taratibu,utafinywa,utapushiwa kama vile ndo unaitoa,kumbe wala...
Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia Ndimu,mchangany-iko wa parachichi na tikiti maji,Sabuni ya Kaisiki na Vim ya kuondolea harufu chooni...Ukigusa unahisi bikira kumbe wala,umetegwa...Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua...dawa yao unakaa na beseni,akizuga unamwagia maji pale juu,litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai...BEWARE na hizi bikira za makuti!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kwani ukigundua sii bikira sii unamwambia sasa nataka bikira yako ya tigo
 
Tatizo ni kua hata wale wanaume vicheche nao wanataka wapate wanawake wazuri walio mabikira, sasa kwa nini wasi wa ektie movie kama hio.
 
Ndo umebalehe jana?
Yaani watoto bana, akijifunza kuchinja kifaranga basi anadhani hata simba anachinjwa hivyo hivyo

Kuna utoto gani hapo Mkuu??Embu fafanua kidogo sijakuelewa bado
 
mmmh!kwani bila bikra hawaolewi!!kwa nini wanajisumbua hivyo,hadi vim kwani hizo k zao ni choo!!!
 
WANAUME,tuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi.Ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa Washirikina kwa kwenda kwa Waganga na kupewa dawa za kukukamata,kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj za kiburugwa,wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela,utapigwa tukio mpaka ushangae.Atajifanya descent na hajui kitu,atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu...OGOPA SANA!
Siku ya kufanya Mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia,ukishika nywele analia...ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa,ukianza kuzama ndo kabisa,unaweza kudhani uko kwenye Msiba wa Kinyakyusa....utasikia taratibu,utafinywa,utapushiwa kama vile ndo unaitoa,kumbe wala...
Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia Ndimu,mchangany-iko wa parachichi na tikiti maji,Sabuni ya Kaisiki na Vim ya kuondolea harufu chooni...Ukigusa unahisi bikira kumbe wala,umetegwa...Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua...dawa yao unakaa na beseni,akizuga unamwagia maji pale juu,litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai...BEWARE na hizi bikira za makuti!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Utoto mwingine ni janga la kitaifa...
 
Mkuu asante kwa experience yako, maana inaelekea yamekukuta pole sana....................!
Mambo ya mujini..........chezeiyaa jiji wewe..............!:becky:

WANAUME,tuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi.Ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa Washirikina kwa kwenda kwa Waganga na kupewa dawa za kukukamata,kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj za kiburugwa,wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela,utapigwa tukio mpaka ushangae.Atajifanya descent na hajui kitu,atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu...OGOPA SANA!
Siku ya kufanya Mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia,ukishika nywele analia...ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa,ukianza kuzama ndo kabisa,unaweza kudhani uko kwenye Msiba wa Kinyakyusa....utasikia taratibu,utafinywa,utapushiwa kama vile ndo unaitoa,kumbe wala...
Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia Ndimu,mchangany-iko wa parachichi na tikiti maji,Sabuni ya Kaisiki na Vim ya kuondolea harufu chooni...Ukigusa unahisi bikira kumbe wala,umetegwa...Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua...dawa yao unakaa na beseni,akizuga unamwagia maji pale juu,litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai...BEWARE na hizi bikira za makuti!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Pole..yameshakukuta naona!

Cc: gfsonwin
mdogo wangu siku hizi nimeamua kuwa mpole sana nimechoka kuona nyuzi zenye utoto.

jiulize vim iekwe ukeni halafu eti itoe povu kweli haya?? kwann ute tu ulioko ukeni usiitoeshe povu?? haya ueke sabuni ya magadi hivi huyu mtoa mada anaakili??

alishawah kujiuliza swali hili?? kwann wana wake hawafanyi punyeto kwa kutumia sabuni kama akina kaka?? akiwza kujijibu swali hili atjua kwann njia aliyosema ya kueka hayo makitu i uongo ama kalishwa kasa.
 
hahahhahha huo mchanganyiko wa vim na malimao na hayo mengine si kufanya naniliu iumuke kama maandazi?
 
Wanaopondea hii mada ni watumiaji na nyepu zao ni bikra kila siku. Na ni watumiaji wazuri wa mikorogo.
 
Sijawahi kupenda binti bikira hata siku moja...napenda nikute keshafunguliwa!
Kwa sababu najua hata nikizitamani sitazipata ulimwengu huu...it's a world of fake things!
 
Back
Top Bottom