Wanaume tuweke mgomo wa kutongoza

Wanaume tuweke mgomo wa kutongoza

Ni mgomo wa kutongoza! Walio na wake wabaki na wakezao na walio na wapenz wabaki na wapenz wao. Tunagomea kazi za nje

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Hiii imekaa pouwa ila kuna watu maisha yatabadilika ghafla hasa wanaoishi kwa miujiza mshahara laki mbili anaishi milioni moja huoni hapo kuna watu watakimbia mjini
 
Hiii imekaa pouwa ila kuna watu maisha yatabadilika ghafla hasa wanaoishi kwa miujiza mshahara laki mbili anaishi milioni moja huoni hapo kuna watu watakimbia mjini

Ndio itakuwa poa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ngumu sana. Tatizo these chicks siku hizi wako aggressive hawafanyi matani. They come up to you and make the first move. Na vile wakaka wengine tulivyo cheap and easy basi unakuwa mpole tu.
 
Ndugu zangu, itakuwa ni jambo la busara kabisa kama kila mwanaume akawa na msimamo wa kutotongoza Msichana wa aina yeyote yule. Hii italeta heshima na Maendeleo kwa Kila mtu na Taifa kwa ujumla. Mgomo huu uwe wa mwaka mzima

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Weee weee ishia huko huko kukumdogo dont count me in....!simo kabsaaa nani kakwambia maendeleo yanaletwa na kutotongoza ?kwanza ndio uchumi utashuka kwa sababu
bundle zitakuwa hazinunuliwi na simu hazipigwi tena
Maduka mengi ya nguo na zawadi yatafungwa
Gesti house na hotel zitafungwa
Mabar na vilabu pia
kondom humo humo hazitauzika tena
petrol stations nyingi zitapoteza biashara
Saluni na masaji senta zitafilisika
List ni ndefu sana unastahili kushtakiwa kwa kutaka kuhujumu uchumi wa nchi unaokua kwa kasi kwa sababu ya ongezeko la mabebiii
 
Kwani kutongoza kupo hadi siku hizi? Mi nilidhani imebaki kijijini tu, maana kimjini mjini ukimpa dada chipsi kuku au lifti ushamaliza kila kitu
 
Ndugu zangu, itakuwa ni jambo la busara kabisa kama kila mwanaume akawa na msimamo wa kutotongoza Msichana wa aina yeyote yule. Hii italeta heshima na Maendeleo kwa Kila mtu na Taifa kwa ujumla. Mgomo huu uwe wa mwaka mzima

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

nahisi kama wewe utakuwa wa kwanza "kugoma kugoma"
 
Back
Top Bottom