Wanaume tuweke mgomo wa kutongoza

Wanaume tuweke mgomo wa kutongoza

Naunga mkono
Raha wapate, na garama ziambatanazo wapewe. Sio issue.Dakika 15 gharama Laki. Upuuzi mtupu
kwani nyie hamjui kudanganya? mimi huwa nawapata kwa kuwapa matumaini tu basi. akisha ingia ndani ya mkoko wangu hatoki nakula bure anabaki na ahadi hewa nahamia kwa mwingine
 
Em niende zangu Fesibuku nikajadili rasimu ya katiba, hapa pamenishinda.
 
Mkuu mama watoto kakunyima unyumba nini na unataka kulipa kisasi?
 
Naunga mkono
Raha wapate, na garama ziambatanazo wapewe. Sio issue.Dakika 15 gharama Laki. Upuuzi mtupu

Hhahahaha mara nyingi kila baada ya game ndo huwa unagundua kuwa ni changa la macho. Mpunga huoooo halafu yeye ndo anajifanya full mzuka ohhh Baby utaendelea kunipenda au ulitaka kunichezea tu? Hahahah kukuchezea ww umekuwa mpira wa Obama
 
Mkuu hapa umeua

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ndugu zangu, itakuwa ni jambo la busara kabisa kama kila mwanaume akawa na msimamo wa kutotongoza Msichana wa aina yeyote yule. Hii italeta heshima na Maendeleo kwa Kila mtu na Taifa kwa ujumla. Mgomo huu uwe wa mwaka mzima

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

hvi ww bwana mdogo umekula vitu gan?! Hvi unacheza na genye ww si ndio?? Pamoja na ukimwi kumaliza watu lakin bado wanasonga front kujiondolea stress za mwili sembuse mgomo usio na madhara......... Huo mgomo utakufaa ww peke yako
 
Ndugu zangu, itakuwa ni jambo la busara kabisa kama kila mwanaume akawa na msimamo wa kutotongoza Msichana wa aina yeyote yule. Hii italeta heshima na Maendeleo kwa Kila mtu na Taifa kwa ujumla. Mgomo huu uwe wa mwaka mzima

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Wanaume wakiacha kutongoza, kutakuwa hakuna mahusiano ya kimapenzi, ndoa hazitafungwa, watoto hawatazaliwa, baadaye taifa litakosa wafanyakazi, uchumi utapungua kwani wazee watazidi kuwa wengi wakati vijana wa kuwatunza watazidi kuwa wachache.

Uzalishaji utapungua.

Maendeleo ya taifa uliyoyataka hayatawezekana.
 
labda wanawake wanaotongoza wataongezeka.
 
Mleta mada si unajuwa utamu wa k
Swala lako litakuwa gumu

bora umwambie ww. Ile kitu acha kabisa watu enzi hzo tumewahi kusafir na mvua kubwa huku umejfunika nairon kichwan kisa tu kuifuata papuchi halafu leo utuambia et mgomo. Ww!
 
labda wanawake wanaotongoza wataongezeka.

Wanawake wanaotongoza wanaongezeka regardless.

Si ndio usawa wenyewe huo.

Northern Europe na Russia huko wanawake washaanza kushika hatamu, wanaume wanajidunga mi Vodka tu.

In a way washaanza huo mgomo.
 
alafu mtongozane wenyewe ... utakuwa umetumwa na cameroun wewe acha hizo
 
Mwenye hii post..
Usirudie tena kuchovya mkate kwenye konyagi!
Hiyo combination ya chakula sio kizuri kwa akili yako,ona vitu unavyoleta sasa!
 
Back
Top Bottom