Wanaume tuweke mgomo wa kutongoza

Wanaume tuweke mgomo wa kutongoza

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,883
Reaction score
2,786
Ndugu zangu, itakuwa ni jambo la busara kabisa kama kila mwanaume akawa na msimamo wa kutotongoza Msichana wa aina yeyote yule. Hii italeta heshima na Maendeleo kwa Kila mtu na Taifa kwa ujumla. Mgomo huu uwe wa mwaka mzima

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Naunga mkono
Raha wapate, na garama ziambatanazo wapewe. Sio issue.Dakika 15 gharama Laki. Upuuzi mtupu
 
Ndugu zangu, itakuwa ni jambo la busara kabisa kama kila mwanaume akawa na msimamo wa kutotongoza Msichana wa aina yeyote yule. Hii italeta heshima na Maendeleo kwa Kila mtu na Taifa kwa ujumla. Mgomo huu uwe wa mwaka mzima

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Mkuu madem wenyewe wa kizazi hichi cha digital hata ucpowatongoza wanakutongoza wewe
 
Haya mambo ya BBM yarudishe huko huko manake huu ujinga na haya mawazo ya ajabu nimeyaona mmeyaanzisha huko BBM' sasa tusipo watongoza awatongoze nani ama watongozane wenyewe??!
 
Heheheeee hii ni kali maana videmu vya siku hizi wanatongoza wanaume. Basi iwe kwamba wanaume wakigoma kutongoza vilevile wagome pia kutongozwa na wanawake hapo ndo mambo yatanyooka. Lakini pia kuna wale ambao waliozoe chovyachovya humaliza buyu la asali hawataweza kuvumilia.
 
Huo mgomo ukifanikiwa sio kwamba ushoga utazidi? Nasema maana wapo vibinti ambavyo wasipotongozwa hawapati raha vilevile wanaume pia wapo ambao hawawezi kuvumilia.
 
Una dalili za ushoga

Sasa mama ushoga umetoka wapi!? Leta hoja na sio kuiga maneno ya mwigulu tafuta yako uyaseme

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mleta mada si unajuwa utamu wa k
Swala lako litakuwa gumu
 
Back
Top Bottom