Wanaume tuwe wakweli kwenye mahusiano

Wanaume tuwe wakweli kwenye mahusiano

Curious Naturally

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
528
Reaction score
523
Tuwe wakweli jamani.

Kuna mwanamke mwingine kwa jinsi alivyo tuu, mwanaume kumwambia 'you are so beautiful baby' unaogopa; kwa sababu unajua kuwa ataona unamdhihaki, anajijua sura yake ikoje; the way alivyo anajijua.

Mwingine hata ukijaribu kumwambia hataitikia 'ahsante' sababu anajijua alivyo.

Kama ushaambiwa maneno yote matamu isipokuwa 'you are so beautiful' tangia mmeanza mahusiano; jichunguze kwa nini!
 
mmmmmh...mm mbona mzuri sana tu na sijawahi kuambia na boyfriend ila huwa napata hizo sifa kwa watu wangu wa kawaida tu,je kuna tatizo hapo au anaogopa kunisifia?
 
mmmmmh...mm mbona mzuri sana tu na sijawahi kuambia na boyfriend ila huwa napata hizo sifa kwa watu wangu wa kawaida tu,je kuna tatizo hapo au anaogopa kunisifia?

Hapo kuna mawili:
B) Kama anakusifia, i.e anakupa sifa nyingine mfano ka ukipendeza; au nyingine zozote zile but hiyo hakupi; may be kuna tatizo la kiufundi hapo

B) kama sio tabia yake kukusifia, labda ndo alivyo au anaogopa anaeza kukupa sifa zisizo zako
 
Wanaume wengine tunasema tu lkn hatumaanishi

Frankly speaking, kuna wengine hata kuwaambia unaogopa! Because you know anajua utakuwa unamdhihaki; humaanishi!

Hujawahi kuona upo nae may be mnaangalia video; akiona msichana mzur anakuambia 'huyu ndio mzuri'
 
Kuna mwanamke mwingine ni mzuri hata kumwambia `we ni mzuri` unaona si haki yake kabisaa so utajikuta unaanza kusifia kiungo kimoja kimoja!! Mfano utaanza leo utaanza na labda na hips, kesho kalio, keshokutwa kiuno, mguu, unywele, lips, jicho mwisho wa siku umemaliza!! Kama mwanamke mjanja atakuwa anahesabu tu sifa zako, mwisho atajua tu mi mzuri coz hakuna alichoacha kusifia teh!!

Pia, hata mwanamke awe mbaya vipi lazima awe na mwanaume tu!! Kuthibitisha hilo wapi ulisikia mwanamke kafa na miaka 40 then kafa na bikra (siyo watawa)?? So, unayemwona mbaya wewe kwa mwenzio mzuri na kafa kaoza na ukiwakuta faragha anamsifia mkewe/mpenziwe mwanzo mwisho!!
 
Frankly speaking, kuna wengine hata kuwaambia unaogopa! Because you know anajua utakuwa unamdhihaki; humaanishi!

Hujawahi kuona upo nae may be mnaangalia video; akiona msichana mzur anakuambia 'huyu ndio mzuri'
Hahaha kama huyo itabid umwambie "kumbe unajijua we ni m'baya eeh" af kwanzia hapo sasa kumsifia inakua mwiko
 
Pia, hata mwanamke awe mbaya vipi lazima awe na mwanaume tu!! Kuthibitisha hilo wapi ulisikia mwanamke kafa na miaka 40 then kafa na bikra (siyo watawa)?? So, unayemwona mbaya wewe kwa mwenzio mzuri na kafa kaoza na ukiwakuta faragha anamsifia mkewe/mpenziwe mwanzo mwisho!!

Hahaaaa! Ila kuna principle inayotumiwa sana na wanaume

" If you don't get what you love; then you have to love what you get"
 
nikipendeza huwa ananisifia,ila kinachonitatiza kwann hajawahi kunisifia hata siku moja kuwa mm mzuri,na kumbuka sio kwamba nataka sifa ambayo sio yangu,mm kwa uzuri ni mzuri sanaa tu wala sio kidogo..
 
Weka picha tuone huenda jamaa yuko right kutokusifia, kama kweli wewe mzuri kwanini mtu anayekujua mpaka kinem.b.e ashindwe kukusifia wakusifie wengine? Labda wanakukejeli tu!
 
haiwezekani sifa zote nazopata ni kejeli maana huwa nasifiwa na watoto,vijana wenzangu,wazee na na ni kwa jinsia zote na mm mwenyewe najiona,so mm naona tatizo lipo kiumeni pengine mnahisi mkisifia mademu zenu labda mnajishusha..mtu kama anastahili mpe sifa yake
 
Beauty is in the eye of the beholder. Wengine wanaona ni kasoro kumbe wewe ndoo center of attraction. E.g. Matege, kuna mwanangu mmoja akiona mdada mwenye matege anasema akishindwa chochote basi walau namba yake ya simu awe ana wasiliana nae tu. Wakati walio wengi matege ni kasoro
 
Back
Top Bottom