Wanaume tuwe na huruma

Mtoto mdogo huyu sijui atanyonyesha nn wanaume muwe na huruma
 
Picha inajieleza"Hii vita haitamuacha mtu salama".
unauhakika gani kuwa hiyo ni mimba?
ukiona binadamu yeyote yule kavimba tumbo, fikiria vitu vitano vinavyoanza na F...............
1. Fetus.
2. Feaces.
3. Fat.
4. Fluid.
5. Flatus.
Na kila kimoja kina kipimo chake, CLINICALLY.
 
Dah alafu kiongozi wa nchi anamuadhibu binti kama huyu kwa kumnyima fursa ya kuendelea na elimu.
 
Inasikitisha sana...

Kwa mijini watoto wenyewe wanataka...
Kwa kijijini mara nyingi sana wazazi huchangia...

Kijijini utasikia... Mwanangu mtoto wa mzee muarubadu,yule maarufu kwa uvuvi wa ngandu kaja kuposa hapa... Umuheshima kuanzia sasa ndiyo mumeo yule... Mtoto ataacha kupigwa...


Mjini ni watoto wenyewe... Utasikia "The guy has a car and a house and he bought me a new smart phone i love him, he's my man" ataacha kupigwa...

Cc: mahondaw
 
Unadhani mm napaogopa huko?
Ebu niwekee picha ya huyo Binti yako kwanza...alafu uone kama Mie ntaogopa kuja Kibiti.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wonderful umetisha shauri yako kibiti haijawahi kumuacha mtu salama
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wonderful umetisha shauri yako kibiti haijawahi kumuacha mtu salama
Mh,labda maana nasikia ata mkuu wa majeshi alirudia Mkuranga!
 
Katika jamii iliyopoteza haiba za ubinaadamu na kuenenda kama wanyama wa mwituni.....haya ni moja ya matokeo yake.......

Wanadamu wameshapoteza dhumuni la wao kupewa fahamu na kuutawala ulimwengu badala yake ulimwengu ndio unawatawala wanadamu......
 
Hapo usikute wamepeana wao kwa wao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…