Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Ebhana eeh!Ajue kupika...nimejifunza kupika ili mume wangu asije kupata tabu
Awe mjuzi wa mambo ya ndani,sio ajue kukatika tu...bali kuikatikia pia
Awe na ujuzi wa hata moja ya jambo moja la kidunia mfano kubet
Ongezea nyingine kama unazo basi0
Ebhana eeh!
Aisee..!Ajue kupika...nimejifunza kupika ili mume wangu asije kupata tabu
Awe mjuzi wa mambo ya ndani,sio ajue kukatika tu...bali kuikatikia pia
Awe na ujuzi wa hata moja ya jambo moja la kidunia mfano kubet
Kati ya zile methali ulitaka zibadilishwe na huu Msemo pia unatakiwa usiendelee kutumikaMchagua jembe si mkulima
Wakati wa uchumba huwa wanakuwa na sifa zote hizo. Ila baada ya kufunga ndoa na kuishi wote kwa zaidi ya miaka mitatu, wengi wao wanabakia na sifa namba 2 tu. Uvumilivu unachukua nafasi yake.Wanaume tuwe makini, tunakumbushana tu!!
KUCHAGUA MCHUMBA (Mke)
1: awe mcha Mungu
2: awe waimani kama yako
3:mkarimu
4: mchapakazi
5:mwenye mapenzi ya kweli asiye penda pesa zako tuu
6:asiye mgomvi
7:awe safi kiroho na kimwili pia
8:mwenye mapambo ya rohoni
Kama unazingine embu zitupie uzi ukamilike!!
Hahaah nimependa hapo kuikatikia jomonii😋mwanamke hata uwe una wokovu wa milenia mambo matam ya chumbani na mumeo hayahusiani na wokovu kabisaa..mauno feni muhimu👌unaikatikia mpaka inabaki ndani,haiwezi kutoka nje😎Ajue kupika...nimejifunza kupika ili mume wangu asije kupata tabu
Awe mjuzi wa mambo ya ndani,sio ajue kukatika tu...bali kuikatikia pia
Awe na ujuzi wa hata moja ya jambo moja la kidunia mfano kubet
Wanaume tuwe makini, tunakumbushana tu!!
KUCHAGUA MCHUMBA (Mke)
1: awe mcha Mungu
2: awe waimani kama yako
3:mkarimu
4: mchapakazi
5:mwenye mapenzi ya kweli asiye penda pesa zako tuu
6:asiye mgomvi
7:awe safi kiroho na kimwili pia
8:mwenye mapambo ya rohoni
Kama unazingine embu zitupie uzi ukamilike!!
Hakika mkuu kwa Sasa watu wanalima kisasa zaidi ngoja nije pande zileKati ya zile methali ulitaka zibadilishwe na huu Msemo pia unatakiwa usiendelee kutumika
Nifundisheni na mimi jamaniii 🙈🙈Hahaah nimependa hapo kuikatikia jomonii😋mwanamke hata uwe una wokovu wa milenia mambo matam ya chumbani na mumeo hayahusiani na wokovu kabisaa..mauno feni muhimu👌unaikatikia mpaka inabaki ndani,haiwezi kutoka nje😎
Hahah aya twende mana leo mmepotea pamepoa sanaHakika mkuu kwa Sasa watu wanalima kisasa zaidi ngoja nije pande zile
Umemaliza kila kitu kwakweli 😁Ongezea nyingine kama unazo basi
Aiseee! 😁😁Hahaah nimependa hapo kuikatikia jomonii😋mwanamke hata uwe una wokovu wa milenia mambo matam ya chumbani na mumeo hayahusiani na wokovu kabisaa..mauno feni muhimu👌unaikatikia mpaka inabaki ndani,haiwezi kutoka nje😎