Wanaume tuwahurumie wanawake ndivyo walivyo

Unajisikiaje mwanamke uliemuoa na mpo kwenye nyumba za kupanga siku moja anakwambia kuwa wewe nae ni mwanaume mwanaume gani unazalia kwenye nyumba za wanaume wenzio

Na wakati huo yeye ni mama wa nyumbani tena wale magorikipa wanaonenepa tu
 
Muda huo akikuambia maneno hayo muangalie yeye mwenyewe ana nyumba?....anapoishi kuna assets ya samani za nyumba zenye thamani walau millioni 2 kama hana basi pigia mstari thread yangu
 
Umeelewa lakini alichokiandika mdau?

”anakwambia kuwa wewe nae ni mwanaume mwanaume gani unazalia kwenye nyumba za wanaume wenzio?"

Itafakari hiyo kauli(kamata kauli moja tu ”kwenye nyumba za wanaume wenzio")halafu niambie wewe kama baba wa familia ndo umetoka zako kutafuta namna utimize ndoto zao mwanamke akwambie hivyo!!!

Huyu unatumia kichwa gani kumuelewa?
 
Unajisikiaje mwanamke uliemuoa na mpo kwenye nyumba za kupanga siku moja anakwambia kuwa wewe nae ni mwanaume mwanaume gani unazalia kwenye nyumba za wanaume wenzio

Na wakati huo yeye ni mama wa nyumbani tena wale magorikipa wanaonenepa tu
😂😂😂
 
Huko kwingine tutawahurumia lakini linapokuja suala la uchakataji wa mbususu
We can't, tutazichakata ipasavyo haijalishi hatuna pesa,nguvu za kiume,vibamia n.k
 
Unajisikiaje mwanamke uliemuoa na mpo kwenye nyumba za kupanga siku moja anakwambia kuwa wewe nae ni mwanaume mwanaume gani unazalia kwenye nyumba za wanaume wenzio
Usimuache wa hivo tena mnunulie na zawadi kabisaaa!! then jenga majumba kila Mkoa! mpaka aseme na mengine!
 
Mwanaume kamili ni kuchakata Mbusus halafu pesaaa kwishne! ke akikujibu jeuri angalia je Mshededeo anaumudu?? kutwa kma mara nne hivi??? baaasi mtafutie pesa haraka!
 
Ndugu zangu wana jamii forum hasa wanaume ni vema tuwahurumie wanawake...mwanamke hata awe ni masikini wa kutupwa yaani hana kila kitu asili yake ni maringo na dharau...popote pale mwanamke atakapokuwa hujihisi special....tuwahurumie tu ndio asili yao
Tuwahurumie au tuwasamehe? Kisha tuzipambanie papuchi zao na kuzichakata afu basi
 
Back
Top Bottom