madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,453
- 2,849
Binafsi naona hasa kwenye masuala ya mapenzi kua mkweli kwa kila kitu unaonekana huna maana.Mimi lazima nimdanganye mwanamke nishajifunza wewe akikuambia nataka simu hata kama huna uwezo wa kununua mwambie utapata.
My dear nataka gari mwambie mwaka huu hauishi utapata, nataka Kiwanja mwambie namchongo wangu wa pesa ukikamilika tu utapata mama. Ukweli mimi nadanganya sana na miaka inaenda tu tuko pamoja.
Mungu alicho wajalia wanawake huwa wepesi saana wa kusahau akikukomaliaa jambo mwezi mwingi kasahau anaanzisha jingine.
Maisha hapo yanasonga tuu, mimi shemeji yenu nishamuahidi mpaka ndege huu mwaka wa nane sasa yupo tu. Jamani wanaume ili maisha yaende tuwadanganye sana wanawake zetu japo sio kwa kila kitu.
Kama kunajambo anataka na unauwezo nalo fanya kama huna uwezo nalo mwambie nitafanya wewe akitaka gari wakati hata we boxer huna mwambie mwaka hauishi utapata jamani hapo Mungu alitupendelea sana sisi wanaume hawa viumbe kua chini yetu.
Sipati picha kama tungekua chini yao tunge nyanyasika sana, hebu wanaume tunyanyue mikono juu kushukuru Mungu. Haya kwa pamoja tuseme hapo tulipo wanaume hoyeee tuitike kwa pamoja oyeee mwisho jamani naombeni wanaume popote tulipo tuwadanganye sana wanawake ili maisha yaendelee.