Na yeye ni mfanyakazi, somewhere alafu kazi yake inamuhitaji sana hawezi kutoa excuse za kijinga jinga akaeleweka labda achukue likizo, ishu inakuja je atachukua likizo mara ngapi?Ukianza kuona shida hiyo ita mama hukohuko Sumbawanga, anakaa wiki moja, then anasepa!...Hela makaratasi, kwani nini bana!
Mwezi na nusu tayari uko HOME na unaenjoy nae tena!..
Hili ndio suala la msingi!!Ni jambo la kawaida maana ni shughuli kukaa robo mwaka bila kukata kiu!!! Ila kumbuka kutumia dawa ya penzi kila unapojivinjari huko ugenini......
Ni nini kinakuwezesha kuyashinda majaribu kwa siku moja? Wiki moja? Mwezi mmoja? kama unaweza kuvumilia kwa mwezi mmoja, nini kinashindikana kuendelea na miezi mingine?Wadau naomba kupata uzoefu kutoka kwa wanaume tuu. Mwenzenu mara nyingi kazi zangu zinanilazimu kusafiri nje ya mkoa wakati mwingine hata miezi mitatu nakuwa mbali na familia yangu, ninaposafiri kikazi nje ya Mkoa ninapata taabu sana kukwepa kutoka nje ya ndoa. Mara nyingi huwa nastahimiri kipindi cha mwezi mmoja mpaka mmoja na nusu, lakini kuanzia hapo hata nitumie mbinu gani nimejikuta nashindwa kabisa uzalendo...... Naombeni kupata uzoefu kwa mdau mwenye nature ya kazi kama yangu anawezaje kushinda hii hali?
Wadau naomba kupata uzoefu kutoka kwa wanaume tuu. Mwenzenu mara nyingi kazi zangu zinanilazimu kusafiri nje ya mkoa wakati mwingine hata miezi mitatu nakuwa mbali na familia yangu, ninaposafiri kikazi nje ya Mkoa ninapata taabu sana kukwepa kutoka nje ya ndoa. Mara nyingi huwa nastahimiri kipindi cha mwezi mmoja mpaka mmoja na nusu, lakini kuanzia hapo hata nitumie mbinu gani nimejikuta nashindwa kabisa uzalendo...... Naombeni kupata uzoefu kwa mdau mwenye nature ya kazi kama yangu anawezaje kushinda hii hali?
hkwenda kumpa tendo la ndoa mume wangu hii ni sababu tosha ya yy kupewa likizo! jaribu utanambiaNa yeye ni mfanyakazi, somewhere alafu kazi yake inamuhitaji sana hawezi kutoa excuse za kijinga jinga akaeleweka labda achukue likizo, ishu inakuja je atachukua likizo mara ngapi?
Nakushukuru sana Eiyer,nimependa ulichoandika.We Fazaa kama huyajui maandiko ni bora ukaacha kumpoteza mwenzio,angalia 1kor 7:2,pameandikwa;"Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanaume awe na MKE wake mwenyewe na kila mwanamke awe na MUME wake mwenyewe" mstari wa 10 unasema;........"mke asimwache mumewe".,....11....."Mume asimwache mumewe".Fazaa hakuna palipoandikwa wake au waume!