Eee,nyie si mmeshindwa[emoji4]Kwa hiyo gurudumu limezungushwa na mwanamke kachukua fursa?
Ni kweli Mkuu hapo ni nyumbani ka Bwana Fulani, ambaye Bwana Fulani nae Elimu yake ameipatia kwenye nchi zilizoendelea ama ameipatia hapa hapa Bongo bahati mbaya ambao Mitaala yao yote ya Elimu wamecopy kule kule kwenye nchi zilizoendelea, matokeo ya Elimu hiyo ni kuwa Kitendo cha Dogo kuja kumtambulisha Girlfriend wake kwake anaita ile ni Exposure kwa Dogo na wala hakuna baya lililofanyika.,Samahani kiongozi,nitauliza tena!hapo nyumbani dogo anapoleta gf wake panaitwa kwa nani?kama ni kwa bwana fulani huo udhaifu ni wa nani. Bado naona wanaume tunahitaji kukaza. Hata huyo dogo anaitwa kwa jina la baba yake.eg lamerk mussa.
Kwa mantiki hiyo hao akina mama wameshatuona kuwa hatujui thamani yetu. Hata malezi yapasayo watoto yametushinda!acha tufe tu hamna namna.Ni kweli Mkuu hapo ni nyumbani ka Bwana Fulani, ambaye Bwana Fulani nae Elimu yake ameipatia kwenye nchi zilizoendelea ama ameipatia hapa hapa Bongo bahati mbaya ambao Mitaala yao yote ya Elimu wamecopy kule kule kwenye nchi zilizoendelea, matokeo ya Elimu hiyo ni kuwa Kitendo cha Dogo kuja kumtambulisha Girlfriend wake kwake anaita ile ni Exposure kwa Dogo na wala hakuna baya lililofanyika.,
Na sisi wala Vumbi huwa huwa hatupendi kupitwa hivyo tutayabeba kama yalivyo toka kwa Msomi wetu coz ndie tunaeamini kuwa ameelimika kumbe ndo tunatoka analogue kwenda Digital bila kujitambua!!!
Uko sahihi kiongozi,lakini Suleiman hakufa kwa cardiac arrest wala stroke. Pia hakuwahi kukimbiwa na mke,pamoja na kuwa nao mia saba(haidhuru)aliwa maintain chini ya himaya yake,kama walichepuka kidogo hawakuingia porini mazima. Sisi tumeshindwaje?usisahau pia walikula,walivaa,wakiwa wake zake na tayari kumpa huduma,alipowahitaji.kila ninapofikiri kuhusu haya maisha hua namchukua mfalme suleman kama case study. ukitaka maisha marefu na yenye raha tele fuata maisha ya kimapenzi aloishi kwayo mfalme suleiman hakika hutojuta.
Ni kweli Mkuu.., ila changamoto kubwa ni kwamba Demokrasia imechangia sana kudidimiza Maadili coz Wanaume wengi wamekuwa weak katika Maamuzi kutokana na hilo, lasivyo ili mambo yaende basi inabidi Mzee ukubali kuitwa Dikteta, Mnoko, Mkoloni etc..,Kwa mantiki hiyo hao akina mama wameshatuona kuwa hatujui thamani yetu. Hata malezi yapasayo watoto yametushinda!acha tufe tu hamna namna.
Umeanzaj anzaj kuwaza hv mkuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi tuliachana kwa sababu nilimpa offer siku moja ya yeye kuwa juu wakati wa mechi basi ndiyo akawa kila siku anataka yeye awe juu kama vile yeye ndiye kanioa, basi tukashindwana
Sasa hayo majina,au kupasuliwa kichwa kama the late Ivan,ni kipi bora?ukitafakari sana hata habari ya marehemu Kanumba na Lulu ni udhaifu wa mwanamume fulani kushindwa kutimiza majukumu yake. Baba Kanumba angewajibika mwanae angekuwa ameoa,baba Lulu angewajibika angesaini mikataba ya kazi za mwanae hivyo kumuepusha na guardian kipanga...alaye vifaranga.Ni kweli Mkuu.., ila changamoto kubwa ni kwamba Demokrasia imechangia sana kudidimiza Maadili coz Wanaume wengi wamekuwa weak katika Maamuzi kutokana na hilo, lasivyo ili mambo yaende basi inabidi Mzee ukubali kuitwa Dikteta, Mnoko, Mkoloni etc..,
Ubadirik kiaje?Haijawahi kubadilika na haikukusudiwa ibadilike. Je sisi tumebadilika?hilo haliwezi kuwa chanzo cha tatizo mkuu?
Zwazwa huyo,sijui angepata mimba angesemaje[emoji23][emoji23][emoji23]Umeanzaj anzaj kuwaza hv mkuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usiwatukane bana,wametuzaa. Kwahiyo unataka kusema wametushinda.Ubadirik kiaje?
Km ni mkristo hayo unayosema una maandiko yake?
Mwanamke na sifa zake mbaya zimetajwa,
Mwanaume yy unasoma wapi km hayo?
Yumkin wanawake ni mapunguan kitabia!
Upo sahihi Mwanawane., hilo ndo jambo linapaswa liendeshwe hivyo, kama Mwanaume unatimiza wajibu wako ipasavyo lazima utapenda kuona na Familia inakuwa na mwelekeo, changamoto ni je, Mke atakubali kuishi maisha hayo au ndo atakuwa amepata sababu ya kusepa?Sasa hayo majina,au kupasuliwa kichwa kama the late Ivan,ni kipi bora?ukitafakari sana hata habari ya marehemu Kanumba na Lulu ni udhaifu wa mwanamume fulani kushindwa kutimiza majukumu yake. Baba Kanumba angewajibika mwanae angekuwa ameoa,baba Lulu angewajibika angesaini mikataba ya kazi za mwanae hivyo kumuepusha na guardian kipanga...alaye vifaranga.
Aende wapi wakati wote tumeamua kuwa makauzu[emoji16]Upo sahihi Mwanawane., hilo ndo jambo linapaswa liendeshwe hivyo, kama Mwanaume unatimiza wajibu wako ipasavyo lazima utapenda kuona na Familia inakuwa na mwelekeo, changamoto ni je, Mke atakubali kuishi maisha hayo au ndo atakuwa amepata sababu ya kusepa?
Sijatukana wala,bali iliyokweli isemw tu!Usiwatukane bana,wametuzaa. Kwahiyo unataka kusema wametushinda.
Kabisa mkuu, lazima tufuate wazee wetu wa zamani hakika heshima itarudiUko sahihi kiongozi,lakini Suleiman hakufa kwa cardiac arrest wala stroke. Pia hakuwahi kukimbiwa na mke,pamoja na kuwa nao mia saba(haidhuru)aliwa maintain chini ya himaya yake,kama walichepuka kidogo hawakuingia porini mazima. Sisi tumeshindwaje?usisahau pia walikula,walivaa,wakiwa wake zake na tayari kumpa huduma,alipowahitaji.
ila uzuri maisha yanaendelea hakuna shida
Nisaidie kushangaa!!!!dunia bila wanaume ukizingatia tulivyo wachache.Maisha yanaendeaje asee wakati mnakufa?
kila ninapofikiri kuhusu haya maisha hua namchukua mfalme suleman kama case study. ukitaka maisha marefu na yenye raha tele fuata maisha ya kimapenzi aloishi kwayo mfalme suleiman hakika hutojuta.