Wanaume tunzeni akiba ya kustaafu, hao watu tunaosotea sio wenzetu

Ni muhimu sana Kuzipenda familia zetu Lakini tusijisahau sisi wenyewe Mimi siku zote huwa nasema watoto wakiume na mama yao sio ndugu zako kabisa iwe mwanaume Mwenzangu hapa ni kukaa kiaskari tu na kuwa na account offshore uko ambazo hawazijui kabisa

Ukizubaa watu kusuprise sana
 
Kataa ndoa, pesa ambayo ingetakiwa uitumie kumhudumia mke jiwekeze kwenye biashara.

Piga mimba mademu tofauti, chukua watoto uwalee mwenyewe kwa upendo kwenye mjengo wako.

Halafu uone ukizeeka kama utasikia nani kama mama.

Mtoto anapolelewa na mama hulishwa sumu kidogo kidogo, siku baada ya siku ndio maana ni ngumu kumtoa upande wa mama.
Mtoto anahitaji malezi ya baba na mama kwahiyo kuzalisha wanawake na kuwaacha itapeleka athari hasi kwa mtoto. Nafikiri suluhisho nikwa wanaume tuwe ruthless linapokuja suala la kuchagua mke. Tusichague mke kiholela holela tu. Hata redflag ndogo tu iangalie kama hatari

Suala la kujiimalisha kiuchumi kama alivyosema mtoa mada hilo liwe la lazima. Hata ukiachana na mzazi mwenzako, akaenda kumlisha sumu ya chuki mtoto uko. Kama upo vizuri kifedha mtoto akijua wewe ni baba ake atakutafuta tu.

Hawa wakina diamond waliwakataa baba zao kwa sababu baba hana hela. Unafikiri baba diamond angekua Lugumi, huyo diamond angemkataa baba ake?
 
inategemea, kama ndoa ni Christian i.e Christian man anafunga ndoa na Christian woman kwa hali ya kawaida hauna cha kuhofia kwa maana mnakuwa mmeunganishwa na kuwa mwili mmoja na kujaliwa watoto ambao mtawalea kwa malezi ya Kikristo, ukifwata hiyo formula nothing can go wrong ...
kuunganishwa kuwa mwili mmoja?!!!

nimecheka kwa dharaaauu!!!🐄
 
Kisingizio tu hicho.
Mbona tunanunua savana za kutosha
Tunanunua brutual za kutosha
Tunanunua henken za kutosha

Ungepunguza savana mbili tu kwenye bill yako, unapata 10000 ya kumtumia baba yako.
In most cases wenye matumizi hayo nyumbani wapo vzr. Baba anaweza kujitake care yeye mwenyewe. Kwaiyo ukiamua kumbless mzee inakua nyongeza.

Kwamba ununulie mademu brutal na savana ikiwa unajua baba ako mgonjwa anahitaji matibabu na hana hela. Utakua mgonjwa wa akili.
 
inategemea, kama ndoa ni Christian i.e Christian man anafunga ndoa na Christian woman kwa hali ya kawaida hauna cha kuhofia kwa maana mnakuwa mmeunganishwa na kuwa mwili mmoja na kujaliwa watoto ambao mtawalea kwa malezi ya Kikristo, ukifwata hiyo formula nothing can go wrong ...
Mkuu hiyo ni myth kuna ndoa ngapi za wakuristo kwa wakuristo ila zinaisha vibaya mpaka wengine kuuana, wanauza mali wanagawana watoto na wasemeshane paka kofo.
 
In most cases wenye matumizi hayo nyumbani wapo vzr. Baba anaweza kujitake care yeye mwenyewe. Kwaiyo ukiamua kumbless mzee inakua nyongeza.

Kwamba ununulie mademu brutal na savana ikiwa unajua baba ako mgonjwa anahitaji matibabu na hana hela. Utakua mgonjwa wa akili.
Watoto wanapashwa kutoa emotional support kwa wazazi wao haijalishi ana pesa au hana, ila wengi hudhani pesa na kupeleka savana kwa baba ndo msaada mkubwa sio.
 
Mkuu hiyo ni myth kuna ndoa ngapi za wakuristo kwa wakuristo ila zinaisha vibaya mpaka wengine kuuana, wanauza mali wanagawana watoto na wasemeshane paka kofo.

Mathayo 19:5 '' ... mwanaume atawaacha wazazi wake na kuambatana na mke wake, na wao wawili watakuwa mwili mmoja, kwa hiyo hawawi wawili tena bali ni mwili mmoja''

hayo mafundisho ni magumu sana kumeza kwa mila mila za tanzagiza na ndiyo maana matatizo na vilio kila mahali hata kwa wanaojiita Christians kwa maana (baadhi) hawako tayari kuacha mila mila (wakati mwingine bila hata ya kujua) for a full Christian faith hapo ndipo tatizo kubwa lilipo kwa maoni yangu, kwa hiyo kunakuwa na mkanganyiko upande mmoja Christian way life na upande mwingine mila mila na kama tujuavyo uvugu vugu huleta matatizo siku zote.

lkn kama ukifwata mafundisho ya Kristo katika ndoa ina maana kwanza itaanza na chaguo la mtu ambaye ungependa kuungana naye na kuanzisha naye familia n.k. ...
 
Mathayo 19:5 '' ... mwanaume atawaacha wazazi wake na kuambatana na mke wake, na wao wawili watakuwa mwili mmoja''

hayo mafundisho ni magumu sana kumeza kwa mila mila za tanzagiza na ndiyo maana matatizo na vilio kila mahali hata kwa wanaojiita Christians kwa maana (baadhi) hawako tayari kuacha mila mila (wakati mwingine bila hata ya kujua) for a full Christian faith hapo ndipo tatizo kubwa lilipo kwa maoni yangu, kwa hiyo kunakuwa na mkanganyiko upande mmoja Christian way life na upande mwingine mila mila na kama tujuavyo uvugu vugu huleta matatizo siku zote.

lkn kama ukifwata mafundisho ya Kristo katika ndoa ina maana kwanza itaanza na chaguo la mtu ambaye ungependa kuungana naye na kuanzisha naye familia n.k. ...
Tatizo hao mapadri wanao himiza ndoa wenyewe haruhusiwi kuoa manaake hajui ugumu ilioko kwenye ndoa, masuala ya ndoa yaskie tu kwa jirani tu.
 
ndoa ni sehemu ya maisha, na maisha ni magumu, kwanza ilie kujua tu kwamba siku moja utakufa siyo rahisi kuukubali huo ukweli.

maisha ni magumu ...
 
Kwa kweli vidume wote wanapaswa kubadilika. Jipende, linda familia ujilinde na wewe. Jiwekee akiba yako binafsi Wanaume kwa wanaume shikaneni msaidiane ninyi kwa ninyi. Utakuta wanawake wakiwa kwenye magumu husaidiana hasa ndugu hupeana pesa, nguo, na mengine lakini wanaume hawasaidiani hata kidogo, hasa wakizeeka hujikuta wapwekeee na watoto wamekua na kumjali mama zaidi.
 
Kama ni magumu mbona wengi hawataki kufa? Ili waachane na maisha magumu.
 
Kwa kweli vidume wote wanapaswa kubadilika. Jipende, linda familia ujilinde na wewe. Jiwekee akiba yako binafsi Wanaume kwa wanaume shikaneni msaidiane ninyi kwa ninyi. Utakuta wanawake wakiwa kwenye magumu husaidiana hasa ndugu hupeana pesa, nguo, na mengine lakini wanaume hawasaidiani hata kidogo, hasa wakizeeka hujikuta wapwekeee na watoto wamekua na kumjali mama zaidi.
Kuna haja ya kujitathimini upya kwanini ulipie ada ya 3m kwa mtoto wakati ata unglipia laki sita atasoma na 2.5m ikiwa akibah ya kuwekeza kwenye Financial marketing mpaka mtoto afike chuo kikuu utakua na mtaji katika soko za finance marketing wa zaidi 25m ambao kama hisa ziko sehemu nzuri huwezi kukosa .5 per month hera nzuri kujikomu kwa uzee wako.
 
Back
Top Bottom