Hamna asiyependa kuwa na vitu vizuri, walimu wamejikuta tu hawana jinsi wawe wapole tu. Mi nilipokuwa mdogo nimeshuhudia walimu wa kike waliiolewa wakitoka shule wana yao ya kuchepuka kama kawaida.
sasa mkuu kwa umri wako ulifankiwaje kung'amua mambo
ya wakubwa zako kuwa wana chepuka..??
hapo napata walakini kuwa na wewe yawezekana ulikuwa
unaunga nao tera toka mdogo..simply guessing .
sasa mkuu kwa umri wako ulifankiwaje kung'amua mambo
ya wakubwa zako kuwa wana chepuka..??
hapo napata walakini kuwa na wewe yawezekana ulikuwa
unaunga nao tera toka mdogo..simply guessing .
Kuna vitu havifichiki hata kwa mtoto, ila unaelewa kwa nini walifanya vitu hivyo kadri unavyokua. na wale walimu wote wawili walifariki baada ya kuumwa mda mrefu ( inasadikika ukimwi)