Wanaume tunatia aibu


Mkuu Bujibuji mbona unaogopa kuhonga wewe!
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu ni mwanamke pekee ambaye ndio mfano wa kuigwa. Hawana gharama kubwa, wanajitambua japo sio wote,

Hamna asiyependa kuwa na vitu vizuri, walimu wamejikuta tu hawana jinsi wawe wapole tu.
Mi nilipokuwa mdogo nimeshuhudia walimu wa kike waliiolewa wakitoka shule wana yao ya kuchepuka kama kawaida.
 
Ha ha ha afu hauvunjiki, ila bora muanzi kuna mti nimeusahau jina fimbo yake ukichapwa hadi unahisi kizunguzungu inauma hatari nlichapwa darasa la tano hadi leo sijasahau

Wewe unachapa kwa kutumia fimbo gani?
 
Wakati mwingine walimu ni watu muafaka lakini wakati mwingine si watu muafaka. Tatizo kubwa la walimu wengi wao wana "VISION NDOGO".
 
Naunga mono hoja, mkuu kuna wanaume wanatia aibu sana. wanafikiri kuoa ni fursa ya kujiongezea kipato
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…