Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,120
- 165,939
Walimu walimu walimu,kwanini umewachagua wao kama mfano?
Ukimwoa mwalimu tegemea madeni
Hii kitu inaitwa papuchi imeleta shida sana hapa duniani..!!
tehtehe kwa hyo fulsa ipo kwa walimu tu ngoja nami nirudi shule bc km ndvo
Kuna mtu niliwahi kumsikia kitambo akisema kuna faida kubwa ukioa mwalimu au nesi. Sikumwelewa mpaka leo
kumbe walimu hawana gharama!!!? ila harufu za chaki utazikoma...