Wanaume tunapenda kweli chura

Najaf

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,505
2,391
```Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja huku akitaka kujua ni namna gani watazitumia.

Mwanamke wa kwanza alitumia pesa yote kununua vipodozi. Alitembelea duka la vipodozi na urembo akajikwatua sawa sawa! Alivyorudi kwa mchumba wake akamwambia,"nimeamua kutumia pesa yote kwa ajili ya kujipamba ili nizidi kukupendezamachoni pako na kukuvutia maana nakupenda sana."Hakika yule mwanaume akapendezwa sana na mpenzi wake.

Mwanamke wa pili alinunua zawadi kwa ajili ya bwana wake. Alinunua simu janja mpya kwa ajili ya bwana wake, saa ya kisasa, nguo na viatu vizuri. Alivyofika kwa bwana wake alimwambia,"pesa yote nimeitumia kununua hizi zawadi zako maana nina kupenda sana."Jamaa akafarijika sana.

Mwanamke wa tatu aliwekeza zile pesa kwenye soko la hisa na baada ya muda fulani alipata faida ya shilingi 2,000,000/=. Mwanamke yule aliamua kumrudishia bwana wake ile pesa aliyokuwa amepewa yaani laki 5 na pesa iliyokuwa imebakia alifungua akaunti ya pamoja na bwana wake. Kisha yule mwanamke akamwambia yule jamaa,"nahitaji kuwekeza na kuhifadhi kesho yetu kwa sababu nakupenda sana."Hakika yule mwanamke alimfurahisha sana jamaa.```

_Jamaa akatafakari sana yale ambayo yalikuwa yamefanywa na wale wanawake baada ya kupewa laki 5_.
*Lakini mwisho wa siku jamaa aliamua kumwoa mwanamke wa kwanza kwasababu anamakalio makubwa! Wanaume watabakia kuwa wanaume tu..
 
Na kweli napenda chura

siku moja alipitaga mdada mmoja sasa tulikuwa staff, sasa wale staff wenzangu wakaanza kumsema mara wigi lake limekaa upande, mara nguo hazijamarch. mimi nikauliza ndo nani.... wakaniambia yule aliyepita hapa. sasa baada ya kufikiria ni nani nikakumbuka chura wake alipokuwa anatokomea na mwendo wake wa dana dana.

nilichekwa na wale staff wangu, mwisho wa umbea nikahamishiwa mimi ohhhh unapenda mavi hahahaa wanaume mmmhh tuna raha. wengine waone sijui nguo mimi niliona chura ila sikumbuki alivaaje.
 
Ubongo wa mwanaume umeumbwa kwa makasha (boxes) na kila kasha lina jambo lake, hayagusani wala kushirikian . Kasha moja muhimu linaitwa "nothing box" humo ktk kasha hakuna kitu. Hilo la muhimu na hakuna mwanamke analitambua japo wanajitahidi kulisoma. Nothing box ndilo linamfanya aitwe mwanamume na akilitumia vyema hufanikiwa sana. Kazi kwenu wanaume
 
Back
Top Bottom