skills za kulazimisha mapenzi kwa mtu asiyekutaka, kila mtu ale alipo peleka mboga. Maisha yanitie stress, aje mtu sijazaliwa naye pia anisumbue
, kwani tulizaliwa wote au tutakufa kwa pamoja. Nyie mnasema kununa, sisi tunasema kufocus na ndoto zangu nasio kumfurahisha mwanamke.