Mjamaa1 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 7,837 Reaction score 6,281 Jun 26, 2023 #21 Equation x said: Tatizo tunawaza vitu vikubwa vilivyotuzidi uwezo Click to expand... Mtu una Master's Degree, bado Jobless, umri unatembea nothing is possible π, unategemea nn?
Equation x said: Tatizo tunawaza vitu vikubwa vilivyotuzidi uwezo Click to expand... Mtu una Master's Degree, bado Jobless, umri unatembea nothing is possible π, unategemea nn?
Mjamaa1 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 7,837 Reaction score 6,281 Jun 26, 2023 #22 Ulweso said: Malezi ya wazazi hasa wababa hawatumii muda na watoto wao kuwafundisha mbinu, wengi akinunua chakula basi inabaki kubembea na makahaba tu Click to expand... Elimu itolewe, ni kweli
Ulweso said: Malezi ya wazazi hasa wababa hawatumii muda na watoto wao kuwafundisha mbinu, wengi akinunua chakula basi inabaki kubembea na makahaba tu Click to expand... Elimu itolewe, ni kweli
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,156 Reaction score 55,655 Jun 26, 2023 Thread starter #23 Ulweso said: Malezi ya wazazi hasa wababa hawatumii muda na watoto wao kuwafundisha mbinu, wengi akinunua chakula basi inabaki kubembea na makahaba tu Click to expand... Tatizo linaweza kuwa ndani, mechi anapangiwa labda mara moja kwa wiki
Ulweso said: Malezi ya wazazi hasa wababa hawatumii muda na watoto wao kuwafundisha mbinu, wengi akinunua chakula basi inabaki kubembea na makahaba tu Click to expand... Tatizo linaweza kuwa ndani, mechi anapangiwa labda mara moja kwa wiki
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,156 Reaction score 55,655 Jun 26, 2023 Thread starter #24 Mjamaa1 said: Mtu una Master's Degree, bado Jobless, umri unatembea nothing is possible π, unategemea nn? Click to expand... Suluhisho ni kuwa mkulima na mfugaji
Mjamaa1 said: Mtu una Master's Degree, bado Jobless, umri unatembea nothing is possible π, unategemea nn? Click to expand... Suluhisho ni kuwa mkulima na mfugaji
itoko jr JF-Expert Member Joined Feb 26, 2023 Posts 1,126 Reaction score 2,540 Jun 26, 2023 #25 Equation x said: Jaza dunia wewe, wakina abraham wangekuwa wachoyo wa uzao wao kama sisi, dunia ingekuwa imejaa mawe tu Click to expand... Tunahakikisha dunia imejaa then tulioijaza tunahamia mars au kwenye mwezi Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Equation x said: Jaza dunia wewe, wakina abraham wangekuwa wachoyo wa uzao wao kama sisi, dunia ingekuwa imejaa mawe tu Click to expand... Tunahakikisha dunia imejaa then tulioijaza tunahamia mars au kwenye mwezi Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,156 Reaction score 55,655 Jun 26, 2023 Thread starter #26 itoko jr said: Tunahakikisha dunia imejaa then tulioijaza tunahamia mars au kwenye mwezi Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app Click to expand... Kuna baadhi ya maeneo kuna upungufu mkubwa sana wa watu
itoko jr said: Tunahakikisha dunia imejaa then tulioijaza tunahamia mars au kwenye mwezi Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app Click to expand... Kuna baadhi ya maeneo kuna upungufu mkubwa sana wa watu
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Jun 26, 2023 #27 Ndio vizuri sana jamani ila mboro kwa wote hao kila siku
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,156 Reaction score 55,655 Jun 26, 2023 Thread starter #28 Unique Flower said: Ndio vizuri sana jamani ila mboro kwa wote hao kila siku Click to expand... Kwa sababu anatumia chakula cha asili; hakuna shida
Unique Flower said: Ndio vizuri sana jamani ila mboro kwa wote hao kila siku Click to expand... Kwa sababu anatumia chakula cha asili; hakuna shida
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Jun 26, 2023 #29 Equation x said: Kwa sababu anatumia chakula cha asili; hakuna shida Click to expand... Uongoo
Ulweso JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 23,106 Reaction score 28,052 Jun 26, 2023 #30 Equation x said: Tatizo linaweza kuwa ndani, mechi anapangiwa labda mara moja kwa wiki Click to expand... Ha ha ha ha hivi kuna watu wanapangiana? Mie najua ni wakati wowote mtu akiwa na nafasi
Equation x said: Tatizo linaweza kuwa ndani, mechi anapangiwa labda mara moja kwa wiki Click to expand... Ha ha ha ha hivi kuna watu wanapangiana? Mie najua ni wakati wowote mtu akiwa na nafasi
Ulweso JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 23,106 Reaction score 28,052 Jun 26, 2023 #31 Unique Flower said: Uongoo Click to expand... Sema hata wewe, halafu wenye maisha magumu ndiyo wanafurahia maisha, fanya tafiti lakini wenye kazi zao na wasomi shida tupu
Unique Flower said: Uongoo Click to expand... Sema hata wewe, halafu wenye maisha magumu ndiyo wanafurahia maisha, fanya tafiti lakini wenye kazi zao na wasomi shida tupu
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Jun 26, 2023 #32 Ulweso said: Sema hata wewe, halafu wenye maisha magumu ndiyo wanafurahia maisha, fanya tafiti lakini wenye kazi zao na wasomi shida tupu Click to expand... Hawajui kusex kabisa
Ulweso said: Sema hata wewe, halafu wenye maisha magumu ndiyo wanafurahia maisha, fanya tafiti lakini wenye kazi zao na wasomi shida tupu Click to expand... Hawajui kusex kabisa
Ulweso JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 23,106 Reaction score 28,052 Jun 26, 2023 #34 Mjamaa1 said: Elimu itolewe, ni kweli Click to expand... Kina Baba na babu walikuwa wakiwafundisha watoto na wajukuu, sasa siku hizi mwanaume anasusa kweli? Na kununa juu, unategemea huko kunako kutafanyika kitu si ndiyo Baba analala mzungu wa 4! Sahizi kaeni na watoto wenu wapewe skill za maisha.
Mjamaa1 said: Elimu itolewe, ni kweli Click to expand... Kina Baba na babu walikuwa wakiwafundisha watoto na wajukuu, sasa siku hizi mwanaume anasusa kweli? Na kununa juu, unategemea huko kunako kutafanyika kitu si ndiyo Baba analala mzungu wa 4! Sahizi kaeni na watoto wenu wapewe skill za maisha.
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,324 Reaction score 62,209 Jun 26, 2023 #35 Ana watoto 102 ila watoto 101 siyo wake kasingiziwa
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,417 Reaction score 5,273 Jun 26, 2023 #36 Huyu Jamaa ni Legend nami bila kushawishiwa na Mtoa Uzi naahidi kufuata nyayo zake.
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,708 Reaction score 51,122 Jun 26, 2023 #37 Slowly said: Nusu ya hao watoto sio wake , kuna wahuni wamepita mle mle Click to expand... Umenena vyema.
Slowly said: Nusu ya hao watoto sio wake , kuna wahuni wamepita mle mle Click to expand... Umenena vyema.
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,708 Reaction score 51,122 Jun 26, 2023 #38 Cute Wife said: Una uhakika watoto wote wake? Click to expand... Nimesoma lori Moja limeandikwa "kwenye ndoa zenu Kuna watoto wetu" πππ
Cute Wife said: Una uhakika watoto wote wake? Click to expand... Nimesoma lori Moja limeandikwa "kwenye ndoa zenu Kuna watoto wetu" πππ
YE67NBE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 15,154 Reaction score 36,361 Jun 26, 2023 #39 Joannah said: Nimesoma lori Moja limeandikwa "kwenye ndoa zenu Kuna watoto wetu" Click to expand... Dada nakumiss
Joannah said: Nimesoma lori Moja limeandikwa "kwenye ndoa zenu Kuna watoto wetu" Click to expand... Dada nakumiss
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,156 Reaction score 55,655 Jun 26, 2023 Thread starter #40 Unique Flower said: Uongoo Click to expand... We unafikiri anatumia nini