tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,317
kwani ye hakupi kitu adim!!!!!!!!!!!
tunapena mamii!!!!!!
kwani ye hakupi kitu adim!!!!!!!!!!!
wewe huna umpatie?
kumbe unatoaga vitu adimu...........
do you mean backbench seat?
there so many things which are unique,,,,, backbench no my dia!!!!!!!
Vitu adimu kama nini? 0713?
whoooops, angalau nimefarijika
mie wa kumpa ninae.
kwa nimpendae tu!!!!!!!!
nikimpa vitu adimu kwa nini asinimwagie mahela!!!!
heeeh! Mada imekuwa ya tinna cute tena jamani?
Hamnaga adimu hata siku moja swala linabaki ni lile lile tu wanaume kujisahau na kujiendekeza ...by the way mwanaume ukitaka mambo yako yaende kushoto eti kisa unapewa utamu muendekeze huyo mwanamke
na miaka hii niliyonayo na xperience basi kama sijakutana navyo basi nisikutane navyo in God's name. mind you sijaruka step nili na nimevitendea haki step zote.vipo subili ukutane navyo!!!!!
nikimpa vitu adimu kwa nini asinimwagie mahela!!!!
vitu gan adim? Hamna lolote yote n yaleyale zngne mbwembwe tu.
C mtu wako??? kwani ukimpa kuna tatizo gani?? ukiona amebadilika ujue kuna pahala ujejichanganya
mugharamie ni wako huyo, wataka nani aje akusaidie?? ujue ninyi wanaume kuna pahala pa dogo sana huwa mnakosea
Wanaume wa Tz kwa kulialia mmezidi, kaaaaa!