Wanaume tuna problem gani?

okon

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2008
Posts
305
Reaction score
92
Mi ni mwanaume lakini nishindwa kuelewa kabisa sie tuna problem gani. Sijui laana!!!
Iko hivi. Hapa mtaani kuna mshikaji amezaa na mke wa jirani yake.(Soma post "nina wasiwasi jamaa ataua mtu"). Sasa huyo jamaa (aliezaa na mke wa jirani yake) mkewe nafikiri ni the most beautiful hapa mtaani, halafu yuko poa ile mbaya, anamheshimu kila mtu japo wana mshiko wa maana na anaongea na kila mtu, yaani mimi na wengine kadhaa tumempa mia mia. Hata ukienda pale kwake anavyo watreat watoto na wafanyakazi, utajua tu she must be the best mother. Kwa kifupi ni mwanamke wa maana.(sijui tu kwa bed). Sasa huyo mke wa jirani (ambaye mumewe kamzalisha) ni kituko. Sura hakuna, figa mbaya (tumbo hilooo), mdomoni sasa ni dharau tupu japo ana maisha ya kawaida sana (mganga njaa tu). Halafu jeuriiii!!! Sasa sielewi, jamaa aliona nini kwa mke wa jirani yake wakati wa kwake mzuri vile? Kuna mtu ana wazo jamani?
 
Hao wanawake waone hivyo hivyo nje tu kaka,usisikie ndani,kunakuwaga kama ahela,wanatakaga kujionyesha tu nje kuwa wako pouwa,muulize huyo mwanaume anajua,unaweza kuta ukapewa mwezi mapumziko,basi tu kwa kuwa mzuri,infact hawako real ndani ya nyumba thats all.
 
tamaa ikuchukua mimba huzaa dhambi
 
Taifa letu ni changa, fanya kazi kwa bidii badala ya kufuatilia maisha ya watu na kuleta udaku JF/
 
Ni tamaa tu hio ndugu yangu...Unajua shetani akishatawala akili unakuwa hufikirii baadae akili zikikaa sawa unajiuliza damn wat was i thinkng?
 

Huo muda wa kufatilia ya jirani ungekuwa unafanya yako ungekuwa mbali sana.
 
Hapo kuna mawili
1) Na hisi huyo jamaa tabia yake kama huyo mke wa jerani,

2) Na hata kimaumbile wanafanana, wote sura hamna.

Tutokana na my experience nimeona wanaume wenye sura mbaya na tabia mbovu
upenda kuoa wanawake wazuri na wenye tabia njema.
Yaani huyo jamaa kafikia hatua ya kutia mimba mke wa mtu, tena wa jirani,
hakika huyo ni balaa.
Mfuatilie tu utagundua.

Na hawa watu mara nyingi ufuata wale wenye tabia mbovu kama zao, ili wakafanye ushenzi.
Mfano, malaya ufuata malaya mwenzie,
mvuta mangi umfuata mvuta mangi mwenzie,
mchawi umfuata mchawi mwenzie,
kwaiyo jua hao wana vitu common.

Hivo wakiwa ktk mtaa mmoja wanajuana haraka sana.

Sura hamna.
Mume akiwa sura kama fuso, mwanamke nzuri anakuwa hapendi kufanya nae tendo la ndoa often.
Hivo mwanaume upata tabu sana, na ujisikia hampendwi.
Kwaiyo uenda kwa wanawake mwenye sura kama yake au mbaya zaidi anakua na confidence,
na wanawake sura kama fuso wanayaweza na mume akafurahia.

So ndio tatizo kuu ninalo faham mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…