Wanaume tuna Matatizo

Ume kuja kunisema adi uku..mapenzi yangu kwa mke wangu yana kuhusu nini...
 
Ni wivu tuu,...


Japo mm siwezi mruhusu mume wangu adeki hata kama ananipenda to the moon and back,.

Raha ya kudeki uiname,ujitikise tikise hasa maeneo flan huku mume anakuona,.sasa mume apige deki anataka kutikisa nini jomonii??lol
Hala hala unapojitikisa hayo maeneo chunga usijambe
 

Mzee nadhani kuna vitu hasa kwenye mahusiano huwa havina formula especially nani afanye nini na wakati gani. Personally, naweza kabisa kufua nguo za ndani za mwanamke wangu kwasababu 2 kubwa.
1. Nina jukumu la kumfanya awe msafi kwasababu katika usafi ndiko mvuto unakozidi.
2. Kujali, kama yeye anaweza kukufanyia hivyo kwanini wewe usimfanyie hivyo?

Haikupunguzii uanaume wako bali inaimarisha mahusiano yako


Sent using Jamii Forums for Iphone App
 
Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyo kuhusu.

Thank me later
 
be blessed πŸ™Œ
 
Aisee Binafsi Naweza msaidia mke wangu
Kufua, Kuosha vyombo, Usafi kidgo ndani ya nyumba, kupika sio kila Siku Sasa na sio kwenye nyumba za kupanga

Kwang inawezekana kabisa, Ni upendo tuu
 
Ni wivu tuu,...


Japo mm siwezi mruhusu mume wangu adeki hata kama ananipenda to the moon and back,.

Raha ya kudeki uiname,ujitikise tikise hasa maeneo flan huku mume anakuona,.sasa mume apige deki anataka kutikisa nini jomonii??lol
Safi !!..😘😘😘..

...πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜..
 
Hakuna Mwanaume aliyekamilika wa hivyo. Hao ni Mwanaume chotara. Yaani anahomoni nyingi za kike.

Chunguza na tabia zingine utagundua kuwa anatabia nyingi za utata.
 
Mwanaume kufanya kazi kama hizo ni sawa na haujaoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…