Wanaume tuna kasoro kubwa kiakiri.

Wanaume tuna kasoro kubwa kiakiri.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Si jambo la ajabu kabisa katika dunia hii kuona kichaa ana mtoto au watoto, wapo wengi tu mitaani, mwanamke na makopo yake na huku kabeba mtoto, hata haishangazi unamuona leo ana mtoto na baada ya miaka 5 baadae ukamuona kajifungua tena. Lakini siyo rahisi kabisa kabisa kukuta kichaa mwanaume mwenye mtoto, sijawahi muona wala kumsikia. Kifupi ni kuwa wanaume kuzaa na vichaa wanawake, tatizo la kiakiri kwa wanaume????????
 
Huwa wana akili zao timamu wanapolala na hao vichaa,

Sijui hamu zinakuwa zimewazidia na hamna pa kupunguzia???:disapointed:
Hata mim sijui huwa najiuliza sana, huku tabora ni vitu vya kawaida kuona kichaa mwanamke ana mtoto na anamlea.

Ngoja tusubiri hao wanaume waje watupe majibu, maana hili suala ni gumu kuwajibia
 
unauliza swali au unatoa taarifa.?
 
data, nauliza. Evarm, mimi pia ni mwanaume ila sina jibu.
 
hao vichaa wanaume unaweza kukuta nao wana watoto

maumbile yao ni tofauti na wanawake(ubebaji Mimba)......

na malezi ya mtoto mara nyingi yameelekezwa kwa mama.....
 
Ngoja waje hao wanaume vichaa wenywe wajibu mimi ni mwanaume lakini si kichaa ivyo sijui kwa nini?
 
Si jambo la ajabu kabisa katika dunia hii kuona kichaa ana mtoto au watoto, wapo wengi tu mitaani, mwanamke na makopo yake na huku kabeba mtoto, hata haishangazi unamuona leo ana mtoto na baada ya miaka 5 baadae ukamuona kajifungua tena. Lakini siyo rahisi kabisa kabisa kukuta kichaa mwanaume mwenye mtoto, sijawahi muona wala kumsikia. Kifupi ni kuwa wanaume kuzaa na vichaa wanawake, tatizo la kiakiri kwa wanaume????????

Siku zote wanawake ni wabaguzi wa mapenzi, hadi akupe ni lazima ufanye kazi tena ikibidi utoe na cash wakati wanaume hawana ubaguzi, wao ni mradi uwe na yale maumbile ya kike tu.
 
Back
Top Bottom