Wanaume tumewahi kujiuliza hivi?

Wanaume tumewahi kujiuliza hivi?

sijaona tatizo hapo japokuwa sipendi kupanda bodaboda
 
sasa ushasema ni mtoto......kwa akili ya kawaida mtu mzima hawezi kukaa pale .....na hata gari ushawahi ona mtu mzima anakaa mbele ya dereva na dereva akaendesha vizuri........ila mtoto unaweza kumweka mbele ya dereva na akaendesha vzuri......

una kichwa kigumu sana.
 
Dereva atakaeje nyumba ya abiria?mmmmm si bure mkuu utakuwa na maana nyingine na siyo bodaboda
 
niaje wandugu.io ndo hali halisi we ungetakaje.kama una wivu kata mgomba uuweke ndani
 
Back
Top Bottom