miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Hivi Duniani kuna starehe kushinda hii
hakuna aisee
Hivi Duniani kuna starehe kushinda hii
Anza kupanda kwa mbele, dereva nyuma yako kisha uje hapa.
Ahhhaa kumbe hiki tu ndio unachowaza. Umeharibu braza; unaponda na wakati huo huo unatamani ufanye hivyo.
Utakaa vipi mbele ya dereva was bodaboda? Mimi huwa naona watoto wadogo Sana ndio wanawekwa mbele ya dereva was bodaboda ila MTU mzima haiji...
wewe unagenye leo
Anza kupanda kwa mbele, dereva nyuma yako kisha uje hapa.
Wacha weeepotelea mbali, mshale kupotelea porini si hasara.
Anza kupanda kwa mbele, dereva nyuma yako kisha uje hapa.
mbona watoto wanakaaga, mfano kungekuwa na uwezekano huo ungekaa mbele ya dereva?