Kumbe na mama mtarajiwa yupo?Hahaha
Hili jina tumelipanga na mama mtarajiwa
Mama bash
JamaniHuu uamuzi ndio unatakiwa uanze kabla ya ule mwingine maana vinaambatana. Ukiwa na uamuzi ule inabidi uchukue na huu kwa pamoja.
Mkuu upo ndani ya kichwa changu. Hicho ndio ninachofanyaMimi kama dingi kazi yangu itakuwa ni kutafuta kwa ajili ya familia kama mtoto hata ni appriciate kisa hajui role yangu kwenye life yake, apo shauri yake.
Ni kama jamaa alivo sema, tutafute na tuwekeze. Usianze ku subiri eti watoto wa ku appriciate wakati ilikuwa jukum lako kuwatunza. Kama umewatunza fresh wana life lao. kazi yako kama mzazi ime ishia hapo mengine ni bonus tuu.
EehKumbe na mama mtarajiwa yupo?
Kwaiyo unamanisha watoto cc wakina baba hawatuamini kutokana na hulka zetu??Wanaume mnasahau kuwa vitu mnavyoona ni kazi ya kina mama ndiyo hujenga ukaribu wa mama na mtoto.
Jiulize baba ni lini ulikula chakula na wanao na kuona Victor alivyo mvivu wa kula?
Ni lini mara ya mwisho uliwavalisha pyajama na kugundua pyajama za James zimekuwa ndogo anahitaji mpya
Ni lini ulienda kumuona mwalimu wa Ashura na alikueleza hesabu zinavyomsumbua?
Wakina mama tunapambana na vyote hivi ndiyo maana hata uzeeni watoto wanaamini nikimpa mama hela itanunulia chakula lakini ukimpata baba itaishia bar
Na kweli mkuu mzee alikupa bonge ya wosiaMkuu upo ndani ya kichwa changu. Hicho ndio ninachofanya
Tunavyo kazana kukupa like angalau ufahamu tupo kumbe kuna waliowahi?Eeh
Yupo, na she z cute. Tunajianga tuu Bashite akija awe na life poa
Kabisa mkuuKwaiyo unamanisha watoto cc wakina baba hawatuamini kutokana na hulka zetu??
Hahahahaa si kweli hiyoTunavyo kazana kukupa like angalau ufahamu tupo kumbe kuna waliowahi?
Kumbe tunae humu jukwaani? Mpe hongera zake kwa kulamba bingoHahahahaa si kweli hiyo
Ila Mama Bash nayeye huwa ana like kama wengine.
HahahahaKumbe tunae humu jukwaani? Mpe hongera zake kwa kulamba bingo
That is trueHizo pajama mwisho wa siku nani ananunua.
Huko shule mwisho wa siku nani analipa ada..
Nyumbani hiyo lishe bora inayowapa watoto akili inatoka wapi?? Hiyo nyumba mnayoishi ni nguvu za nani.??.. Watoto wanenjoy maisha w'ends kwa fedha ya nani, nyumbani dstv na katuni vinatoka wapi?? Watoto wakiumwa hospital nani anagharamia??
Hayo yoote mwanaume anaonekana nothing..
Duh Dada Mungu anakuona..
Kwahiyo ile kazi ulonipa ndio basi tena au huna uhakika n nini unataka?!!!!Eeh
Yupo, na she z cute. Tunajianga tuu Bashite akija awe na life poa
Hahahaaaaa!!! Mtoto mvurugaji huyo usimuamini sana.Tunavyo kazana kukupa like angalau ufahamu tupo kumbe kuna waliowahi?
HahahKwahiyo ile kazi ulonipa ndio basi tena au huna uhakika n nini unataka?!!!!
Huyo mama bash ni mke wa mtu ujue!!!Kumbe tunae humu jukwaani? Mpe hongera zake kwa kulamba bingo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mama bash ni mke wa mtu ujue!!!
Mama mtarajiwa!!!Hahah
Mpaka Magu aje aondoke si ndio wata ajiri [emoji1]
Ntazeeka sasa inabidi nijikite kwa mama mtarajiwa tuu
Habari za mchana jirani?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usniambie asee!
Hebu nipe habari kwa kina