Wanaume: Tumeusiwa

Mume wako amepata mke!!
Nina imani hii sio "theory' pekee, 'practical' iko nyumbani kwako. Kama umenielewa!!
 
Mimi kama dingi kazi yangu itakuwa ni kutafuta kwa ajili ya familia kama mtoto hata ni appriciate kisa hajui role yangu kwenye life yake, apo shauri yake.

Ni kama jamaa alivo sema, tutafute na tuwekeze. Usianze ku subiri eti watoto wa ku appriciate wakati ilikuwa jukum lako kuwatunza. Kama umewatunza fresh wana life lao. kazi yako kama mzazi ime ishia hapo mengine ni bonus tuu.
 
Kabisa na ile nyumba ndogo wanaifahami na kwa uchungu walimsikia mama anavyolalamika baada ya nyumba ndogo kutamba alinunuliwa kiwanja
Wao ndio anguko lao wenyewe, wasimtafute mchawi wao.
 
The thing is hayo yote ni majukumu yako lakini kubwa kuliko ni uwepo wako katika maisha yao.

Huwa mnajidanganya sana mkidhani all they need is yo money kuliko uwepo wako, ndio maana muda wa marafiki,bar,michepuko,mpira nk hamkosi ila muda na familia zenu hamna.

Matokeo yake ndio kama hayo huwakuta.
 
Kwanini wafundishwe who is baba kwamba hauna uhakika kuwa wewe ni baba!!????
Baba anaejielewa wala wanae hawafundishwi kuw yeye ndio baba maana wanajua na wanaona. Ukiona wanao ni hadi wafundishwe kuw wewe ndio baba basi tambua umepwaya sana na unapaswa ujitafakari.

Huwa mnajistukia kuwa watoto wanalishwa sumu maana mnajua kabisaa maovu yenu.
 
Kwa visingizio utawawez sasa!! Omba ruhusa mara moja hudhuria mambo yanayowahusu wanao kama ambavyo unapata muda wa mambo mengine.
 
Kumbe mpango wa kuwa baba unao! Nikajua nao umeghairi.
 
Inabd ujue nan alikuwa analipa ada? Kwenda kumuona mtoto shule sio sababu coz yupo kule kwa sababu amelipa ada
 
Hahaha
Ikiwa ntakuja kuwa, mimi kuwa baba pia nadhani si wito wangu.
Ila ikutokea nimekuwa baba ntazingatia huu ushauri
Huu uamuzi ndio unatakiwa uanze kabla ya ule mwingine maana vinaambatana. Ukiwa na uamuzi ule inabidi uchukue na huu kwa pamoja.
 
2nd paragraph yote hayo nayafanya kuliko Mama yao!
 
Positive critics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…