Wanaume tumeumbwa mateso....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Shoga 1 alienda club ikapigwa nyimbo ya msondo ngoma....

ya "Wanaume tumeumbwa mateso....mateso!"

Shoga kusikia akaguna mmh niliyajua zamani hayo

ndo maana nikajitoa huko....
 
Last edited by a moderator:
Shoga 1 alienda club ikapigwa nyimbo ya msondo ngoma....

ya "Wanaume tumeumbwa mateso....mateso!"

Shoga kusikia akaguna mmh niliyajua zamani hayo

ndo maana nikajitoa huko....

Umenikumbusha mbali aisee, hiyo ilitokea nkiwa viwanja bagamoyo baada ya kupigwa huo wimbo, shoga akashaut "bora mimi nshakuwa mwanamke"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…