Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,172
wewe hudumia sisi mabaharia tunapewa bure,na hizo hela unazompa anakuja kutupatia sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi GB 40 kwa yule demu wa chuo umeshamuungia??
LoyalNdo maaana nimesema kama amilikiki hanifai bro...afu sio kila demu anachepuka mkuu wapo ambao ni royal na wapo ambao ndo hivyo tena....
Mwazo umesema unaamini kuwa mwanamke anahitaji matunzo, ila mwisho ndio umeandika kitu kuwa kila mtu abaki na anachokiamini yeye. Njia yako ya maisha haiwezi kuwa sawa na yangu, ukishajua hivyo hata atakae kudiss kuwa unahonga mpuuze kwakuwa wewe ndio njia yako unayoamini inafaa.
Vipi yule mwanamke wako wa GB 40 na laki nne kwa mwezi ameacha kukusumbua?
Vipi GB 40 kwa yule demu wa chuo umeshamuungia??
wengi wanaolalama wasiyokuwa na hela kama mimi,inawezekanaje upate penzi tuu halafu huduma ndogondogo akamuombe mzazi wake?
Hiyo sahau mkuuwengi wanaolalama wasiyokuwa na hela kama mimi,inawezekanaje upate penzi tuu halafu huduma ndogondogo akamuombe mzazi wake?
Na wewe utapewa tendo na mkeo tu, vinginevyo mpaka uoe au watapewa wahudumiaji, ni formula rahisi mnoKama ulivosema hapo awali,Ni vema Kila mtu abaki na perceptions na kanuni zake linapokuja swala la mapenzi .
Binafsi,,mke TU ndio naweza kuhudumia,nasisisitiza mke TU,,
wengine watahudumiwa na wazazi wao,
Na ikiwa ataona Mimi sifai kwa kukataa kumuhudumia ,awe huru kutafuta anae mfaaa
Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
Wakuu inakuaje??
Kumekuwa na baadhi ya kundi la baadhi ya wanaume kuwasema wanaume wenzao wanaogharamia kuwa ni wazembe mara vichaa mara hawajitambui. Kila mtu ana ideology zake ana perceptions zake hivyo kama wewe hufanyi ambacho mwenzako bhs so uanze kumsema huo ni umama.
Me naamin mwanamke anahitaji matunzo makubwa hivyo mwanaume ni jukumu lako kumuhudumia mwanamke wako by any means. Mwanamke usimpogharamia unakuwa na probability kubwa ya kushare na wwngine hawezi kuwa wako huyo.
Wanaume msiotoa matunzo ndo mnaongoza kwa kuwa na stress daily kulia lia humu Jf. Naomba nitoe utofauti Mwanaume kamili anamuhudumia mpenz wake ila vivulana ndo kazi yao kutaka kula bure na kusepa na kuendekeza mashuga mami.
Kila mtu abaki na itikadi zake na perceptions zake, kama huna pesa Tafuta pesa ili ugharamie [emoji1491]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama ulivosema hapo awali,Ni vema Kila mtu abaki na perceptions na kanuni zake linapokuja swala la mapenzi .
Binafsi,,mke TU ndio naweza kuhudumia,nasisisitiza mke TU,,
wengine watahudumiwa na wazazi wao,
Na ikiwa ataona Mimi sifai kwa kukataa kumuhudumia ,awe huru kutafuta anae mfaaa
Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
Na wewe utapewa tendo na mkeo tu, vinginevyo mpaka uoe au watapewa wahudumiaji, ni formula rahisi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora iwe ivo mkuuNa wewe utapewa tendo na mkeo tu, vinginevyo mpaka uoe au watapewa wahudumiaji, ni formula rahisi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatunza na Bado unagongewa Kama kawaida mkuu.Mkuu upo tayari kugongewa? Kama hautunzi basi kubali kuwa na mtunzi mgongaji....japo sio kila demu wa kuhudumia.
SawaBora iwe ivo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power