Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,690
Ngoja niandae hela nisipitwe na episode ijayo[emoji1][emoji1][emoji1]
Ngoja niandae hela nisipitwe na episode ijayo[emoji1][emoji1][emoji1]
Tumbo/kitovu
Wewe chuchu hazijakuvutia??Ngoja niandae hela nisipitwe na episode ijayo
Sehemu ya tumbo kwenye kitovu huwa inavutia ikiwa imenona.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumbo saa sita au?
Niko kwenye threshod pointWewe chuchu hazijakuvutia??
Not skeptical??hahaNiko kwenye threshod point
[emoji23][emoji23][emoji23] mweee kwamba tutajinonesha au?Sehemu ya tumbo kwenye kitovu huwa inavutia ikiwa imenona.
Sasa kwa wale ambao hiyo sehemu haijanona, lazima watafute mbdala ili ionekane imenona
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Not skeptical??haha
Mtavaa sponchi ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mweee kwamba tutajinonesha au?
Hizo ni mbinu za kuchomolewa pesa mifukoniWanaume tumeumbiwa mateso.
Tunachunwa kwa kila namna.
Wazee wa chuchu saa 6 akiona hapo anahonga bila kujali...
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Wanaume tumeumbiwa mateso.
Tunachunwa kwa kila namna.
Wazee wa chuchu saa 6 akiona hapo anahonga bila kujali...
Tunazitafuta kwa jasho ila mnakuja kuzila kiulaini sana.Hizo ni mbinu za kuchomolewa pesa mifukoni
Ukaguzi ni muhimu, uwe unafanyika kabla ya kulipia hudumaWanaume mmeamuaje kwenye hichi kikao?[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ndio hivyo, poleni sana jamaniTunazitafuta kwa jasho ila mnakuja kuzila kiulaini sana.
Hivyo tuu?[emoji13][emoji13][emoji13]Ukaguzi ni muhimu, uwe unafanyika kabla ya kulipia huduma
ahahaaaaa tumboni sio?Mtavaa sponchi ndani[emoji23][emoji23][emoji23]