Wanaume tujitetee katika hili

Wanaume tujitetee katika hili

Kifupi haipendezi hata kidogo kumjibu vibaya wife,kwasababu pia ni kumdhalilisha mtoto wa watu aliyeamua kuishi nawewe forever...!!!
 
Mkuu tabia za washkaji zako mkikaa baa...ndio una jumuisha wanaume wote.......???
 
mwiba' endelea na uamiri jeshi wako utabaki kudharauliwa akipata baby ambaye ni mgambo anajibu vizuri "utalima oami" mwanamke kubembelezwa kwa upendo bwana . alaaaa
 
Ni wewe tu unaye mjibu mkeo hvyo. And why unampa mchepuko wako nafasi hvyo???
 
Hivi inakuwaje, Mara zote kama sio nyingi, Mwanaume/wanaume tunapoongea na wapenzi wetu/wake zetu, huwa tunaongea kwa Hasira sana, Mpenzi akiuliza "Upo wapi? Mtu anajibu.. "Unataka niwe wapi? Yaani tunajibu kwa ghadhabu kweli kweli.

Sasa Ngoja "Mchepuko" Upige simu, hata kama swali ni la kizushi, Utajibu kwa Upole na kwa kubembeleza.. " Nipo Ofisini Mama, nikitoka nitapita kukucheki sweetie ".

Swali, ni kwa nini tuna behave like that? Kwanini wanaume tunakuwa wakali sana kwa wake zetu, na tunakuwa wapole sanaaa kwa Michepuko?

What's the secret behind such attitude?

Hata uliza ya mchepuko ni tofauti na wake zetu ambao wanaamini wao ni kila kitu coz wana hati miliki, mchepuko atauliza bby au sweet uko wapi baba, lakini wake zetu utasikia we uko wapi mpaka muda huu au ndo uko kwa malaya zako!so na nyie jaribuni kuwa na lugha laini.
 
Hivi inakuwaje, Mara
zote kama sio nyingi, Mwanaume/wanaume tunapoongea na wapenzi wetu/wake
zetu, huwa tunaongea kwa Hasira sana, Mpenzi akiuliza "Upo wapi? Mtu
anajibu.. "Unataka niwe wapi? Yaani tunajibu kwa ghadhabu kweli kweli.

Sasa Ngoja "Mchepuko" Upige simu, hata kama swali ni la kizushi, Utajibu
kwa Upole na kwa kubembeleza.. " Nipo Ofisini Mama, nikitoka nitapita
kukucheki sweetie ".

Swali, ni kwa nini tuna behave like that? Kwanini wanaume tunakuwa
wakali sana kwa wake zetu, na tunakuwa wapole sanaaa kwa Michepuko?

What's the secret behind such attitude?

michepuko ina care ile mbayaaa mtoto anakubembeleza kama mtotooo
 
Hata uliza ya mchepuko
ni tofauti na wake zetu ambao wanaamini wao ni kila kitu coz wana hati
miliki, mchepuko atauliza bby au sweet uko wapi baba, lakini wake zetu
utasikia we uko wapi mpaka muda huu au ndo uko kwa malaya zako!so na
nyie jaribuni kuwa na lugha laini.

kweli kabisa mchepuko kweli wana lugha ya mvuto.eg baba umeshindaje? umekula baba? pole na kazi baba. luv u..
 
Nakubaliana na ww Mkuu, Leo kwenye dala dala jamaa alikuwa anamfokea kinoma mke wake, alienda kusalimia nyumbani kwa wazazi na watoto, sasa mke kampigia jamaa kumuomba warudi kesho... Ni Noma. Yaaaani, after kama 15mnts baada ya simu ya Mke wake jamaa...

Ikaingia simu nyingine, ambayo ni ya mpango wa kando.. Jamaa alikuwa anabembeleza mpaka ikabidi nimuulize, Mkeo ni yupi kati ya hao wawili uliongea nao... Hakujibu, akawa anacheka.

Nikajiuliza sana. Kwann kwa Mke tunakuwa wakorofi kiasi hiki na michepuko ina take advantage????

Hakika wanaume wafanyao hayo husumbuliwa tu na ushamba na kutoelewa, maana katika hali ya kawaida mke ambaye ndo wa kuandamana naye mpaka kifo kiwatenganishe ndo ilikuwa wa kutumia kauli nzuri za staha zisizokereketa masikioni. Lakini kwa ujinga wa mume mwenye mchepuko anafanya kinyume chake. Wabadilike!
 
michepuko ina care ile mbayaaa mtoto anakubembeleza kama mtotooo

Ndo kawaida ya mwizi, si anajua ana-compete na mwenye mali. Anabembeleza ili aonekane yeye ni bora zaidi kuliko mkeo na ili umpe full attention. Uoe sasa huo mchepuko utaona utakavyobadilika ndani ya nyumba mwee
 
Mwanaume wa ukweli anachepuka na heshima kwa mkewe ipo palepale....unakula na kipofu unamshika mkono we wa wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom